Home workout special thread (Uzi maalumu wa Mazoezi unayoweza kufanyia nyumbani)

Wale tusiopenda kukimbia twenzao.

 
Asantee...na mm nina vidakika vyangu vichache kabla sijaoga napasha pasha..
 
Salaam Wakuu,

Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi

Natambau wengi wetu tunatamani kuwa wafanya mazoezi, lakini kwa sababu mbalimbali tumekuwa tunakosa muda kwenda uwanjani au sehemu za mazoezi,

Uzi huu umezingatia sana ratiba ya watu. Hivyo, nitakuwa nikiweka clips fupifupi zikionesha mazoezi rahisi ambayo mtu yoyote anaweza kufanyia nyumbani kwake.

Kama unayo clip pia weka hapa uzi huu ni wetu sote.

Katika kila clip ntayoweka fanya zoezi hilo kwa sekunde 30.

PIA SOMA: SoC 2021 - Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...

View attachment 2326517
Asante Suley2019 kwa uzi mzuri nitakuwa mdau wa kudumu hapa japo nimechelewa kuuona huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3c16efaaebf3c4e63b799eba36c7f72e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
napenda sana mazoezi ya kuendesha elleptical bike nyumbani

inapunguza mwili haraka sana na haiumizi


WhatsApp Image 2024-02-05 at 12.17.45.jpeg
 
Back
Top Bottom