Mkuu sitegemei kwenye maua pekee .hapa nalima nyanya ,papai,ndizi mchanganyiko,ndimu,limao,maembe,nafuga pia mifugo mbali mbali .Kiburi cha wakulima msimu huu kimenifundisha maisha. Maua yote kwenye makopo nimeng'oa nimepanda mboga mboga. Ni mwendo wa nyanya, vitunguu, matango, tangawizi, nyanya chungu, biringanya, kabichi na kila kitu