Home Garden: Tunauza maua mazuri kwa bei poa

Mademu Wenyewe siku hizi hawayataki maua, Sasa sijui nikinunua nitayapeleka wapi!
Hehehee mkuu even men love flowers
IMG_20230108_181733.jpg
IMG_20230108_181411.jpg
IMG_20230108_181455.jpg
 
My home garden.

Hii bustani ipo nyumbani wapendwa kwa hiyo usiogope kuja tukanywa na juice au chai huku UKICHAGUA MAUA na kubadilishana mawili matatu....
IMG_20230115_120158.jpg
IMG_20230115_120042.jpg
IMG_20230115_115959.jpg
IMG_20230115_115950.jpg
IMG_20230115_115938.jpg
IMG_20230115_115816.jpg
 
Kiburi cha wakulima msimu huu kimenifundisha maisha. Maua yote kwenye makopo nimeng'oa nimepanda mboga mboga. Ni mwendo wa nyanya, vitunguu, matango, tangawizi, nyanya chungu, biringanya, kabichi na kila kitu
 
Mkuu sitegemei kwenye maua pekee .hapa nalima nyanya ,papai,ndizi mchanganyiko,ndimu,limao,maembe,nafuga pia mifugo mbali mbali .
Nakupongeza ulivyofanya

Don't put two legs in on busket
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom