abdullkadir
Member
- Mar 10, 2024
- 27
- 20
Habari wanaJamiiForums leo nimeona niweke kitu changu ambacho kilinisumbua miezi kadhaa iliyopita.
Niende kwa ufupi niliwahi kuteleza ktk tamaa za vijana na wala sikuwahi kufikiria mbele lakini mwezi wa 10/2023 niliona humu JamiiForums watu wanahimizwa sana kupimwa kujua afya zao na mimi nilipatwa woga saana.
Niliwazaa baadaye nikaona bora nipime nijue afya yangu nikapima, majibu yakawa mazuri namshkuru Mungu nikarudi humu nikakuta watu wanasema lazima urudie hapo nilikuwa ktk wakati mgumu kweli hofu, wasiwasi, mpaka majibu nikawa nayaona kama siyo
Nilirudia tena kupima mwez wa 11/ 1 nikapima tena tarehe 30 mwezi wa 11 halafu wa 12 na mara ya mwisho ni mwezi wa 1 tarehe 30 mwaka huu 2024 nimetimiza miezi 3 ila siwezi kusahau yalionipita.
Nimepima mara zote hizo na majibu yangu ni mazuri namshkuru Mungu na nimeamua kujilinda na kusubiri ndoa tu.
NOTE: Nawashauri vijana wenzangu tujitunze na tuache zinaa