Hizi hapa Hatari za Kula Tunda kimasihara

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,050
5,081
Nimekua JF kitambo lakini jukwaa langu pendwa ni kule Siasa, ila masiku ya karibuni nikaanza kuingia humu na kwakweli nimejikuta nnapapenda kutokana na story za kuvunja mbavu zilizopo.

Kuna huu uzi wa kula tunda kimasihara na hakika story za humo zinahadithiwa kiushujaa lakini ukiangalia kiundani zina hatari zake nyingi mnoo.

Hivi unakulaje tunda la mtu usiefahamu status yake ya Afya? Na kwa mazingira hayo ya umasihara manake ni jambo linatokea kiudharura, sasa jiulize ikiwa huyo uliemla ni HIV positive na kwakuwa kuna purukushani mwisho utakuwa hatarini, na je vipi Kaswende, Gono, Pangusa n.k?

Kiukweli kizazi chetu tuliozaliwa 1980's mpaka 2000's ndio haswaa kizazi cha majanga na wengi wa watoto waliokuwa na wazazi HIV positive ndio walizaliwa watoto wengi hapa wakiwa na maambukizi kutokana na ile hulka ya unyanyapaa na hivyo wazazi walikuwa wakificha status zao unlike now mifumo ya afya imeimarika na watu sasa wana uelewa. Hivyo kuparamia mtu wa umri huo ni kucheza mchezo wa Cheusi Chekundu na Afya.

Jambo jingine ambalo pia huwa wala kwa masihara wanasahau ni kuingia ktk kosa la ubakaji. Hivi ulishawaza itakuaje ukamla mtu kimasihara kwa mabavu kutokana na yeye kuja geto alafu akaamua kukushtaki? Yaani ndio umemla akapiga mayowe au akaenda polisi, je unadhani utachomoka? By the way unaweza chomoka kimasihara pia kutokana na technicality za kisheria ila utakua umeshasota sana lupango na huku kitaa umeharibu kabisa taswira yako mbele ya jamii.

Mwisho na kwa umuhimu mkubwa ni kwamba kula tunda kimasihara manake umekula kisicho halali yako, hivyo umeingia ktk mgogoro na Muumba wako kwakuwa huo ni Uasherati.

Hivyo ktk harakati zako za kula kimasihara, pata muda wa kumsaliti Abdallah kichwa wazi kwa muda na ukipe kichwa kikuu kutafakari athari zilizojificha nyuma ya Umasihara wenyewe ili ufanye maamuzi ukiwa well informed kuepuka majuto.

Pia soma: Ulishawahi kula tunda kimasihara?
 
Sijajua mtoa mada ni me au ke ila tupo ktk swaumu na tumedhamiria kuacha mambo yooote baaada ya kumaliza kufunga, naomba utupishe tafadhali.
 
Hahaha
 
Hatari ziko kwenye harakati zote. Masihara pia ni harakati. Wengi wanaumia na maisha hayawezi simama. That's life
 
Mkuu kwenye uzinzi watu wanawazaga dini tena!

Dini,dini. Uzinzi, uzinzi full stop!

Mambo haya hayawekwagi fungu moja, yatakushinda na watu watakushangaa!

Halafu kwenye kujamiiana akili zako usiziwekee picha ya kugonga kisiki bali kuchukua tahadhari bhana!

Tukiwaza mambo ya mashaka na wasiwasi kila hatua ya maisha yetu, mwishowe itapelekea tuanze kuwanyanyapaa na kuwaogopa wanawakena na kusababisha mimba zisitungwe ili watu wazaliwe kuijaza dunia na kuinua uchumi.

Tafsiri ya kula tunda kimasihara siyo kula isivyo halali bali kula tunda kimzaha mzaha, ni mapenz hayo na si ubakaji.
 
Back
Top Bottom