Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Swali lako limeficha chuki ndanimo,mtakufa na chuki zenu za Udini haya tusema rais wa Zanzibar awe mkiristo wewe kabwela utanufahika na nini? kwa tarifa yako rais wa Zanzibar anachaguliwa Dodoma tena nahao wakiristo wenzio huyu mama samia walio mpa umakamu wa rais ndio hao nabado walio mpitisha juzi kuwa mwenyekiti wa ccm nihao wakiristo wenzio nenda huko kawaoji kulikoni wanampendlea chuki chuki chuki utakufa na ugonjwa wa moyo
Hawa wadini ndi maana JPM sliposhinda walifurahi sana wanepata wa dini yao🤷🏻‍♀️utadhani anakwenda kuwasomea injili,, aliwanyoosha hadi basi,,
Jpm alikua haangalii cha askofu,, alimuheshimu pengo peke yake,,
Lakini hata Pengo, ali appreciate kwamba, 'hata tukichagua wa dini yetu, haibadili kitu'😂😂
 
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
KWASABABU MANDONGA MTU KAZI AKIPIGA KAMA KAPIGWA NA AKIPIGWA KAMA KAPIGWA
 
Waisalam ndani ya nchi hii tunawabembeleza kwa mbereko..ipo siku hiyo mbereko itakatika
Aipo iyo siku mzee baba,fanya tu mambo mengine.
Nyerere alipewa mbeleko na hao wazee wa kiislam akapewa nyumba ya kukaa bure na waislam.

pitia histori ya Tanganyika hata kidogo utakata kiu ya swali lako.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Ukitoka hapo jiulize pia kwanini mbeya wabunge wote ni wakristo,,
 
Nimegundua vijana wengi hawajui aina na muundo wa Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar.

Hata hivyo wa kulaumiwa ni Nyerere hakutakiwa kuvunja serikali ya Tanganyika bali ilitakiwa kuwe na serikali tatu lakini alifikiri kwa muundo wa serikali mbili tungekuwa watawala wa Zanzibar daima lakini leo tunatawaliwa sisi! Ujanja mwingi mbele kiza.
Baada ya yaleo, yajayo yanafurahisha sana…. Time will tell…
 
Wewe unafikiri bila msiba kutokea, wazenj urais kuupata ingewachukua miaka 100,ndio maana nashauri, katiba mpya ianishe wazi kuwa urais uwe wa kupokezana, maana watu wa bara baadhi tuna roho mbaya za husda na hatupendi wazazibar wawe rais wa Tanzania
Hata ikiwa hivyo ni muhimu kurejeshwa kwa serikali ya Tanganyika na kama kupokezana iwe ya Muungano haifurahishi kuona serikali ya Tanganyika ambayo tunaambiwa ipo ndani ya serikali ya muungano kuongozwa na Mzanzibari wakati yeye sio Mtanganyika bali Utanzania wake umetokana na Uzanzibar wake hivyo kwa sifa hiyo tu hakumfanyi automatically kuwa Mtanganyika.
Nyerere alitokosea sana.
 
Zanzibar serikali yake ni ya kidini NA huku Bara wanasisitiza serikali haina dini 😃

ila hawa ndugu zetu kuishi nao ni kazi sana ubaguzi umewajaa halafu wanajina wanaonea kila siku
 
Hapo vip!

Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.

Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.

Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.

Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)

Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Dogo kiazi kweli ulisikia wapi mtu yeyote anafaa kuongoza, recycling yoote inayoendelea nchi hiii we uoni, uongozi wa nchi ukibadilika jua Mwenyezi ndio kapenda wenyewe wanatamani libaki kundi lile lile tu!
 
hoja kama hizi za jaziba zinatolewaga maranyingi na watu waliovia akili.
 
Back
Top Bottom