Hivi kweli wadada mmefikia wivu kiasi hiki???

mdada yani cjui hiyo mbinu alitumia ameitoa wap maana analogia mwanaume kama utak atoke unatia nguo zake zote kwenye maji hiyo ilikuwa stlye ya zilipendwa.maskini emeamua aivumizishe roho yake anyway apumzike kwa amani R.i.p
 
Wakati Fulani jitahidi Sana kufahamu backgrounds ya mpenzi wako.

Zipo familia zenye laana ya kujiua, kujinyonga
Nk.

Jitahidi kufahamu temperament yake.

Fahamu akiwa na hela ama Hana Ana mabadiliko gani?

Mkiwa mnabishana ama mnazungumza jifunze kuelewa anachofikiria.

Mwisho jitahidi Sana kumwacha katika utilivu kabla hamjaagana..usichukulie poa.

Moyo ni kiza kinene Sana.

Zipo sababu nyingi za kuendelea kuishi lakini pia zipo sababu ambazo wengine hawaoni thamani ya maisha.
 
Wakati Fulani jitahidi Sana kufahamu backgrounds ya mpenzi wako.

Zipo familia zenye laana ya kujiua, kujinyonga
Nk.

Jitahidi kufahamu temperament yake.

Fahamu akiwa na hela ama Hana Ana mabadiliko gani?

Mkiwa mnabishana ama mnazungumza jifunze kuelewa anachofikiria.

Mwisho jitahidi Sana kumwacha katika utilivu kabla hamjaagana..usichukulie poa.

Moyo ni kiza kinene Sana.
Big words, but a woman can change according to groups, friends, neighbour and even listening rumours from third part.
 
Nimewahi msikia Dada mmoja anasema;
Kwahali ilivyo sasa, ukipata mwanaume wa kukuweka ndani, mkumbatie kabisa mfe pamoja.
Weka WIVU kwake, usiruhusu michepuko hata siku moja ukanyang'anywa tonge lako.

Sasa, nahisi ndiyo kama huu WIVU wa Dada huyu.
R.I.P Mrembo.
 
Akisha zikwa, jamaa atavuta mwenza mwingine na maisha yataendelea kama kawaida
 
Nilishawahi kuumizwa sana na mapenzi tena unaumia to the point huwez Fanya kitu chochote. Ila sijawahi hata kuwaza kujiua, sembuse wivu? Lol Allah amlaze panapostahili
 
Nilishawahi kuumizwa sana na mapenzi tena unaumia to the point huwez Fanya kitu chochote. Ila sijawahi hata kuwaza kujiua, sembuse wivu? Lol Allah amlaze panapostahili
Ingekua unampenda kwa dhaaati kabisa na wew ungechukua maamuzi magumu Tu..life is too Short.
 
Mmmh. Sitawahi ujinga huo. Hata nimkute mume wangu kitandani na mwanaume mwingine,sitaweza fikia hatua hiyo.
Hatujaelewa yaani umkute mumeo na mwanaume mwingine kitandani
Hutaweza fikia hatua hiyo
Hapo ni kweli ila ukimkuta na mwanamke mwingine
Yaani katoto kachanga
Ka umri 18
Nsona utajinyonga tu madam
 
Back
Top Bottom