Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,728
5,768
Habarini,

Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako.

Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au unakuta kazaa na kijana wa hovyo.

Mfano juzi kati kuna binti nlimtongoza akanikataa, baadae nakuja sikia amepewa ujauzito na bodaboda, tena bodaboda mwenyewe ni wale vijana wa hovyo kabisa, wanaokula gomba/mikokaa etc, yani hata bodaboda wenyewe wanamshangaa huyo binti alivo mzuri amekubali vipi kupewa ujauzito na kijana wa vile, ilhali kuna vijana wengine wa bodaboda kwenye kile kijiwe ni vijana wa maana wenye heshima zao, maana kwa story za mtaani jamaa ana mangeu ngeu usoni kwasababu ya spidi.

Mdada unamtongoza anakukataa, halafu anaenda kumkubalia mwanaume ambae ukijiangalia wewe na huyo mwanaume, wewe unajiona bora mara 5 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kuna mwanaume hata akimchukua demu wako unakubali unaona kweli huyu mwana kanizidi, ila unakuta binti mzuri anamzalia kijana wa hovyo, au mume wa mtu, unajiuliza tu huyo binti atajenga future gani na mume wa mtu.

Halafu wakifika miaka 28 wanaanza kututafuta sisi ambao walitukataa walipokua in their prime ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wakidhani bado sisi ni wajinga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nilidhani hii phenomenon inanitokea mimi tu, ila baada ya kupita pita mitandaoni nkagundua kuwa hii ishu hata wanaume wengine inawakutaga.

Screenshot_20240423-193457.jpg
Screenshot_20240423-193532.jpg
 
Mdada unamtongoza anakukataa, halafu anaenda kumkubalia mwanaume ambae ukijiangalia wewe na huyo mwanaume, wewe unajiona bora mara 5 , kuna mwanaume hata akimchukua demu wako unakubali unaona kweli huyu mwana kanizidi, ila unakuta binti mzuri anamzalia kijana wa hovyo, au mume wa mtu, unajiuliza tu huyo binti atajenga future gani na mume wa mtu.

Halafu wakifika miaka 28 wanaanza kututafuta sisi ambao walitukataa walipokua in their prime wakidhani bado sisi ni wajinga

Nilidhani hii phenomenon inanitokea mimi tu, ila baada ya kupita pita mitandaoni nkagundua kuwa hii ishu hata wanaume wengine inawakutaga.

View attachment 2972098View attachment 2972099
Watu wa hovyo wanazungumza lugha anayoipenda mabinti
 
Habarini,

Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako.

Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au unakuta kazaa na kijana wa hovyo.

Mfano juzi kati kuna binti nlimtongoza akanikataa, baadae nakuja sikia amepewa ujauzito na bodaboda, tena bodaboda mwenyewe ni wale vijana wa hovyo kabisa, wanaokula gomba/mikokaa etc, yani hata bodaboda wenyewe wanamshangaa huyo binti alivo mzuri amekubali vipi kupewa ujauzito na kijana wa vile, ilhali kuna vijana wengine wa bodaboda kwenye kile kijiwe ni vijana wa maana wenye heshima zao, maana kwa story za mtaani jamaa ana mangeu ngeu usoni kwasababu ya spidi.

Mdada unamtongoza anakukataa, halafu anaenda kumkubalia mwanaume ambae ukijiangalia wewe na huyo mwanaume, wewe unajiona bora mara 5 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kuna mwanaume hata akimchukua demu wako unakubali unaona kweli huyu mwana kanizidi, ila unakuta binti mzuri anamzalia kijana wa hovyo, au mume wa mtu, unajiuliza tu huyo binti atajenga future gani na mume wa mtu.

Halafu wakifika miaka 28 wanaanza kututafuta sisi ambao walitukataa walipokua in their prime ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wakidhani bado sisi ni wajinga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nilidhani hii phenomenon inanitokea mimi tu, ila baada ya kupita pita mitandaoni nkagundua kuwa hii ishu hata wanaume wengine inawakutaga.

View attachment 2972098View attachment 2972099
Wewe ulikata tamaa mapema.
Boda boda alikomaa
 
Back
Top Bottom