Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,304
22,790
Wakuu,

Sasa hivi nimetulia ghetto nikipata kusikiliza gospel za hao watu wawili ,fanuel sedekia na Angela muriri chibalonza

Nimegundua hao watu walikuwa mbele ya muda.
Itachukua muda sana kuziba mapengo yao.

Je, kuna waliofanikiwa kuziba mapengo yao mpk sasa?
 
Wakuu
Sasa hivi nimetulia ghetto nikipata kusikiliza gospel za hao watu wawili ,fanuel sedekia na Angela muriri chibalonza

Nimegundus hao watu walikuwa mbele ya muda..
Itachukua muda sana kuziba mapengo yao..

Je kuna waliofanikiwa kuziba mapengo yao mpk sasa?
Ni kwasababu umeharibu kuwafananisha na wengine embu jaribu kuwatazama Kama manabii kua kila mtu amebeba ujumbee wake kwa wakati wakee utagundua kila muimbaji ana upako na baraka zake kwa nyakati na majira tofauti.
Ingawa sikupingi hakutakuweko na Angela Chibalonza mwingine Wala Fanuel Sedekia mwingine
 
Back
Top Bottom