Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,363
- 27,803
Ukiangalia mifumo ya dunia mingi ni universal, lakini hali ni tofauti kwenye uendeshaji wa magari!
Kuna nchi unaendesha kushoto, nyingine kulia, nisichoelewa ni kipi kilisababisha wasikubaliane wote tuendeshe upande mmoja? Leo hii ukitembelea mathalan US si utapata changamoto barabarani?
Nawasilisha!