Hivi kabila lina mchango katika kupata kazi?

Mfano mtu umehudhuria interview ukakutana na panel pale labda HR ni mhaya na wewe bahati mbaya ni mhaya. Hivi kunaweza kuwa na some sort of upendeleo ukapata ile kazi just kwa sababu ya hr kuwa kabila lako?

Nimeuliza hivo maana nna marafiki zangu wapo Kenya wanasema kama wewe ukienda kwenye interview ukakutana na panel member wa kabla lako kunakuwa kama na privilege fulani ya kupata kazi.

Sijui kwa Tanzania, inaweza kuapply kweli?
Mzee wangu alinipa story kwamba alipata nafasi kama bank teller enzi hizo CRDB manager kasema haiwezekani labda awe messenger aligoma na kuondoka siku hiyohiyo.
 
Sasa wewe unayepata aleji ofisini kisa kuna wahaya basi hutofanya kazi ofisi yyte maana hakuna ofisi utaenda usikute hata mmoja...
 
Beji au vitambulisho vya wafanyakazi wengi wa CRDB ni Temu, Shoo, Masawe, Shirima, Mlaki, Mlayi, Mushi, Mbolo,
Unataka kunishawishi.. Nilishawahi kuomba mkopo na jamaa anaitwa Masawe yeye alipata mi nikakosa yeye alipata ila cha kushangaza tunafanya kazi sehemu moja tumeajiriwa pamoja na bosi aliyetufhamini ni mmoja
 

KUNA VITU VINGINE KUVIANDIKA KWENYE CV KWA BAADHI YA MAZINGIRA NI KUTOJIELEWA.

VITU KAMA KABILA, MKOA/WILAYA ULIPOZALIWA/DHEHEBU LA DINI
HAVINA ULAZIMA WA KUWEKWA KWENYE CV YA KUOMBEA KAZI,
VINAWEZA KUKUKOSESHA BAADHI YA FURSA.
Kumbuka majina ya ukoo yanajulikana. Mtu akiitwa massawe haihitaji kuuliza kama yeye ni mchagga.
 
Kama ndivyo basi itafikia mahali vikao vya kiofisi vinaendeshwa kilugha
 
Mbona wapishi wengi ni Wasambaa hamuwasemi hao?? Kila kabila na hulka yao. Zama hizi hakuna kabila flan limebobea kwa kazi flan. Sote tunapambania hapo.
Zamani kidogo ulikuwa ukitaka papuchi ya kulipia uliuliza; wako wapi wahaya, nenda leo uone walivyopinduliwa na wachaga na wahehe na wanyakyusa. Yaani inatisha. Acha ukabila
 
Huu uandishi umekaa kichochezi sana. Chonde chonde usije kutugawa kwa misingi ya kikabila..mwl si alishakataza hivi vitu jamani?
 
hahahaha
Hili kabilaa mnalioneaa bhanaaa
Nafikiri lengo la hii mada ilikuwa kwa wachagga tu
...achana na maneno ya waswahili, kwani tokea wameanza kuwadis wachagga, kuna effects gani wanazozipata?, aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea
 
Ni wazi ilo suala lipo sana,ila mm binafsi nawapongeza sana wachaga na wahaya kwa spirit yao,ikiwa mtu ana vigezo vya kuifanya hyo kazi acha wapeane ni tofauti sana na akina sisi mwakapatwa,mwakajua tangu mwalimu alivogundua mchezo wetu basi ni kama katulisha sumu,siku hz mnyaqsa yuko radhi amsaidie kabila tofauti ili tu apate sifa,na yy azidi kuheshmika hapend mnyq mwenzie awe kama yeye,poor us
 
nenda DAWASCO uone utawakuta kina nani, wachagga mnawaonea tu kwa kuwa wamejichanganya sehemu mbalimbali. anyway, ebu tupe na performance ya hiyo bank hapa! nakumbuka miaka hiyo nikiwa chuo jamaa alikuja kuripot chuo akashangaa sana (alikuwa anaongea kama joke lakn ni ukweli) kuwa amekuja chuo kwa
basi la mchaga, amepokelewa chuo na mchaga akapiga photocopy kwn stationery ya mchaga na jioni akala kwn mgahawa wa mchagga
 
Back
Top Bottom