Hivi kabila lina mchango katika kupata kazi?

Sasa mnalilialia wadogo zangu humu? Haya ni makabila makubwa yanastahili utalinganisha na vikabila vingine vyenye idadi ndogo ya watu. Nchi yoyote yenye makabila mengi, ma/kabila kubwa ndo yanakua na power ya kiuchumi na mengineyo. TZ kabila kubwa ni wahaya, wasukuma na wachaga. The rest ni vi-kabila vidogo tu.
 
Wakuu hilo lipo...Mimi nina ushuhuda....jamaa yangu aliitwa kufanya usaili shule ya sekondari moja ya private iliyopo kijiji cha Mtae...wilaya ya Lushoto Tanga....mwenye shule wakati wa interview aliposoma cv na kuona jamaa ni muhaya....pale pale alitahamaki na kumwambia interview imeisha...
Baadae yule manager alikuja kuwa muwazi kwamba wahaya hawapendi hadi anakwenda kaburini...
Hiyo kitu mbaya Sana asee binafsi huwa sipendagi ukabila katika masuala ya Kazi , hata Mungu hapendi..
 

KUNA VITU VINGINE KUVIANDIKA KWENYE CV KWA BAADHI YA MAZINGIRA NI KUTOJIELEWA.

VITU KAMA KABILA, MKOA/WILAYA ULIPOZALIWA/DHEHEBU LA DINI
HAVINA ULAZIMA WA KUWEKWA KWENYE CV YA KUOMBEA KAZI,
VINAWEZA KUKUKOSESHA BAADHI YA FURSA.
Lazima uweke mkuu na usipoweka lazima kwenye self introduction utaje sehemu ulikotokea
 
Kuna baadhi ya makabila especially ya Mara kuwa kabila moja ndio disqualification;hawabebani

Na ndiyo maana tunapambana wenyewe Mkuu kwani hatupendi " mbeleko " na hatujazoeshwa hivyo tokea enzi na enzi bali sisi naturally ni " wapambanaji ".
 
Back
Top Bottom