Burudani kwa wote ni PUMZI tu.Haiwezekani kwamba azam tv kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa azam tv burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Wabongo katika ubora wetu wa gubuHaiwezekani kwamba azam tv kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa azam tv burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Watanzania wengi wanadeka sana kwa kuzoeshwa huduma za bure zitolewazwo na serikali. Inafikia kiwango haya kutamani huduma zitolewazwo na wafanyabiashara nazo zitolewe bure!Haiwezekani kwamba azam tv kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa azam tv burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Na ndicho wanachomaanisha. Kwani ukiambiwa "NMB KARIBU YAKO" ndio unaenda tu kuchukua hela kwenye ATM zao hata kama huna akaunti?Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu