Hii ndiyo sababu kuu mama au dada zako wanamchukia mke wako japo kwa jicho la kiume ni ngumu kujua

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
372
1,031
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi.

Sababu ni hizi

𝗪𝗶𝘃𝘂

Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo,

dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo kwenye ndoa lakini the namna anavyoishi / alivyoishi na mme wake ni tofauti kabisa na wewe unavyoishi na wifi yao / mkamwana.

Yeye kwa mumewe huko hakuna kutoka out, kwenda shopping, hawamalizi wiki bila kuzozana na pengine Ndoa yao imejaa makasiriko lakini Ndoa yako wewe na wifi yao / mkamwana wanaona iko sawa na mna furaha tele japo hata ndoa yako inaweza kuwa na matatizo ila huko nje mnafeki mna furaha, Hapo inamuingia ile roho ya kwanini yule mwanamke anafaidi furaha kwenye ndoa kwa kaka yangu / mtoto wangu wa kumzaa ?

Kinakuja tu kisirani kwa wifi / mkamwana kwa sababu nae pengine alitamani yale anayoyaishi wifi ake, hata kwa Mama mkwe pia.

𝗖𝗵𝗼𝘆𝗼

Kabla hujaoa ulikua unahudumia vizuri tu kwenu na vizawadi lakini baada ya kuoa automatically tu majukumu yanajirundika na kipaumbele kinakuwa watoto na mkeo hivyo lazima matumizi yale ya mwanzoni ya kuhudumia kwenu utayagawanya kiasi upeleke kwenu, kiasi kwa mke wako, kiasi kwa watoto, kiasi kwa ndugu wa mke.

Kitendo cha huduma kushuka basi Mama yako na dada zako wataona kama vile huyo mkeo kakushika akili mtoto wao / kaka yao au anakukataza ama amesababisha wao kupunguziwa huduma, wanaweza kudhani hata kakuroga waanze kwenda kwa waganga.

ni makasiriko na visirani visivyo na kichwa wala miguu
 
Mtoa maada kasema ukweli,naona kuna wana wanasema tatizo umaskini,wazee umaskini hauapply kila mahali,kuna mahali hata ukiwa tajiri kiasi gani ila huna mtu wa kukupenda kweli,utatumia fedha kutaka kununua upendo,kitu ambacho ni ngumu sana kuwezekana.
 
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi.

Sababu ni hizi

𝗪𝗶𝘃𝘂

Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo,

dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo kwenye ndoa lakini the namna anavyoishi / alivyoishi na mme wake ni tofauti kabisa na wewe unavyoishi na wifi yao / mkamwana.

Yeye kwa mumewe huko hakuna kutoka out, kwenda shopping, hawamalizi wiki bila kuzozana na pengine Ndoa yao imejaa makasiriko lakini Ndoa yako wewe na wifi yao / mkamwana wanaona iko sawa na mna furaha tele japo hata ndoa yako inaweza kuwa na matatizo ila huko nje mnafeki mna furaha, Hapo inamuingia ile roho ya kwanini yule mwanamke anafaidi furaha kwenye ndoa kwa kaka yangu / mtoto wangu wa kumzaa ?

Kinakuja tu kisirani kwa wifi / mkamwana kwa sababu nae pengine alitamani yale anayoyaishi wifi ake, hata kwa Mama mkwe pia.

𝗖𝗵𝗼𝘆𝗼

Kabla hujaoa ulikua unahudumia vizuri tu kwenu na vizawadi lakini baada ya kuoa automatically tu majukumu yanajirundika na kipaumbele kinakuwa watoto na mkeo hivyo lazima matumizi yale ya mwanzoni ya kuhudumia kwenu utayagawanya kiasi upeleke kwenu, kiasi kwa mke wako, kiasi kwa watoto, kiasi kwa ndugu wa mke.

Kitendo cha huduma kushuka basi Mama yako na dada zako wataona kama vile huyo mkeo kakushika akili mtoto wao / kaka yao au anakukataza ama amesababisha wao kupunguziwa huduma, wanaweza kudhani hata kakuroga waanze kwenda kwa waganga.

ni makasiriko na visirani visivyo na kichwa wala miguu
SRC KUBWA N IJINGA MKUU

1.UNAPOOA KAMA WAZAZI WAPO LAZIMA UJUE UNAENDLEA KUWAJALI

2.UNAPOOA MKE ANATAKIWA KUKUTIII WEWE NDIE UMPENDE MKE AKIKUCHUKIA SIJUI KISA UNAMSAIDIA MZAZI WAKO RUDISHA NYUMBAN HUYO FASTA

3.SHULE NAZO ZINASAIDIA SANA WENGI WALIOSOMA HUWEZIZ KUTA MATATUZO KAMA HAYA NAKUMBUKA XWANGU MSOMI ALIKUWA ANAPENDA MARAKWAMARA NYUMBANI ...KUMSAIDIA MAMA NA AKIOATA CHOCHOTE HATA SIJUI YUMOOO...
 
Back
Top Bottom