Dkt. Gwajima D
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 602
- 3,973
Wasalaam,
Ile siku ni Leo tarehe 15 Mei, 2024. Kila mkoa unaadhimisha na wilaya zake na kata zake na vijiji vyake.
Vyombo vya habari vinapaza sauti. Ukiona kimya uliko, basi kuna mtu hajatimiza tu wajibu wake wa kupaza sauti au wa kusikiliza sauti iliyopazwa.
Sisi tuko Dodoma, Viwanja vya Chinangali. Kaulimbiu ni "Tukubali tofauti zetu kwenye familia kuimarisha malezi ya watoto".
Familia ni nguzi ya jamii na taifa na dunia kwa ujumla. Tujali familia zetu.
Pia soma:
- Siku ya Familia 15 Mei yaja