Haya maisha haya

wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza sana
Ungesomea kazi muda huu usingekuwa mtaani.

Sikusimangi ila watu wawe makini wakati wa kuchaguwa kozi za kusoma.

Watu wasomee kazi wawe na skills.
 
Ungesomea kazi muda huu usingekuwa mtaani.

Sikumangi ila watu wawe makini wakati wa kuchaguwa kozi za kusoma.

Watu wasomee kazi wawe na skills.
Hata hiyo course yake angezingatia elimu asingekua anaomba kazi za buku tatu.

Tatizo letu tunasaka GPA (ndogo ndogo) na kuepuka sup.

Na wewe bwanamdogo Hustler89 usijishushe kiasi hicho aisee, buku 3 per day???
 
Back
Top Bottom