Niliyoyaona leo nilipokwenda kusambaza barua za internship

Hustler89

Member
Apr 7, 2024
68
172
Kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa Arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa ni tatu zingine 6 nimerudi nazo.

Taasisi za serikali nilizoenda wengine wamesema hawanaga internship wengine wanasema wanachukua watu kupitia Taesa na Taesa nilifanya training miezi 8 iliyopita ila hawajawahi kuniita hadi leo

Wakuu najisikia kukata tamaa natamani hata nisingekuwa na exist hapa duniani Arusha yote hii nimekosa intern?

Pia, soma=> Kesho nina mpango wa kutembea jiji zima kuomba internship, naombeni ushauri
 
kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance Jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa ni tatu zingine 6 nimerudi nazo

Taasisi za serikali nilizoenda wengine wamesema hawanaga internship wengine wanasema wanachukua watu kupitia Taesa na Taesa nilifanya training miezi 8 iliyopita ila hawajawahi kuniita hadi leo

Wakuu najisikia kukata tamaa natamani hata nisingekuwa na exist hapa duniani Arusha yote hii nimekosa intern?
Utapata tu siku yako ipo
 
Back
Top Bottom