Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 6,573
- 10,661
Simple mind inajikita kwenye trialities. Sisi tunaangalia the big pictureMbona wao wananunua kutoka kwetu? nimekupa tu mfano wewe mpuuzi, niambie mtu wa bara ananufaika kwa kipi na huu muungano?
Simple mind inajikita kwenye trialities. Sisi tunaangalia the big pictureMbona wao wananunua kutoka kwetu? nimekupa tu mfano wewe mpuuzi, niambie mtu wa bara ananufaika kwa kipi na huu muungano?
Maccm hadi yatolewe madarakani hilo la wananchi kuamua km wanataka muungano au hawataki ndo litawezekanaKumekuwa na manung'uniko mengi linapokuja suala la muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar huku kila upande ukionesha kutoridhishwa na muungano huu.
Suala la muungano tangu kuanza kwa kwake mpaka sasa limekuwa likitawaliwa na maamuzi ya watu wachache ( Elites), huku mawazo na mitazamo ya wananchi kutoka pande zote mbili (2) kutochukuliwa kwa uzito.
Wanzanzibar na Watanganyika wapewe nguvu ya kuamua juu ya hatma ya muungano, aidha kuvunja au kuendelea na muungano na aina ipi ya muungano waitakayo.
Kwa mifano Juni 23, 2016 Uingereza iliitisha kura ya maoni ya kitaifa ya kujitoa Umoja wa Ulaya ambapo wananchi 17,410,742 sawa na 51.9% walipiga kura ya Ndio, na 16,141,241 sawa na 48.17% walipiga kura ya hapana na hivyo serikali ya Uingereza ili heshimu mawazo ya wengi (wananchi) na kujitoa Umoja wa Ulaya, Septemba 18, 2014 Scotland iliitisha kura ya maoni, yenye swali.
"Je, Scotland iwe nchi huru?"
Wananchi 2,001,926 sawa na 55.3% walipiga kura ya hapana na 1,617,989 sawa na 44.7% walipiga kura ya Ndio na hivyo Scotland kuendelea na muungano huo.
Maoni yangu ni kwamba, hatma ya muungano isiamuliwe na watu wachache ( Elites) badala yake Iamuliwe na wananchi kwa kura ya maoni.
Ahsante.