Akili za hao, ni level ya juu sana wakilinganishwa na wewe. Hakuna uzushi ndiyo maana polisi wamepigwa altimatum jana ya kuwaachia mara moja si zaidi ya leo, nao wametii amri.
Huwa wanawekwa kujadili hoja na watu wasiojiandaa,huwezi kunilinganisha na hao watukanaji.
 
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki .

Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani

PIA SOMA
- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

- Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

- Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake
Nchi hii uonevu wa polisi hautakoma mpaka tupate katiba mpya
 
Mkuu ingekuwa wewe ndugu yako amechukuliwa na polisi halafu baada ya siku kumi apatikane kwenye mortuary ya polisi ungekaa kimya? Kuwa pro utawala wa Samia kusikutoe utu.
Hawana uhakika na taarifa zao. Wanasema waliona gari aina ya Harrier ikimchukua ila hawana uhakika kuwa ilikuwa ni Polisi.

Halafu maiti imekutwa Kilwa Road Polisi mortuary. Kwa hiyo maiti kukutwa Kilwa Road maana yake ndiyo waliomchukua?
 
Inategemea na wakili aliyekusimamia
Hakuna cha wakili wala nani? Mambo ya kizamani hayo. Tamko lilitopewa. POLISI WAFANYE KAZI MASAA 24 SIKU SABA ZA WIKI, NO KUJITETEA. since then utaratibu ni utatoka muda wwote kituo cha polisi ila tu isiwe juu ya saa 12 jioni
 
Hawana uhakika na taarifa zao. Wanasema waliona gari aina ya Harrier ikimchukua ila hawana uhakika kuwa ilikuwa ni Polisi.

Halafu maiti imekutwa Kilwa Road Polisi mortuary. Kwa hiyo maiti kukutwa Kilwa Road maana yake ndiyo waliomchukua?
Swali la kufikirisha ni kuwa kwa kawaida polisi wakiokota maiti huwa wanatangaza kwenye vyombo vya habari na kujaribu kutoa wajihi wa marehemu ili ndigu zake waje kutambua maiti,lakini kwa huyu Mushi walikaa na maiti kwa zaidi ya siku kumi bila kutangaza hadi ndugu wenyewe walivyokuwa wanahangaika kutafuta ndiyo wakaambiwa kuna maiti Polisi Kilwa Road ndiyo kwenda wakakuta ni ndugu yao. Maelezo ya polisi ndiyo yanazidi kutia shaka.
 
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki .

Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani

PIA SOMA
- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

- Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

- Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake
Namshauri Malisa apunguze harakati...
He needs to live..he needs life.
 
Swali la kufikirisha ni kuwa kwa kawaida polisi wakiokota maiti huwa wanatangaza kwenye vyombo vya habari na kujaribu kutoa wajihi wa marehemu ili ndigu zake waje kutambua maiti,lakini kwa huyu Mushi walikaa na maiti kwa zaidi ya siku kumi bila kutangaza hadi ndugu wenyewe walivyokuwa wanahangaika kutafuta ndiyo wakaambiwa kuna maiti Polisi Kilwa Road ndiyo kwenda wakakuta ni ndugu yao. Maelezo ya polisi ndiyo yanazidi kutia shaka.
BoniYai alipaswa kuuliza kwa utaratibu tu na siyo kuituhumu Polisi.
 
Hahaha pipa kanyea debe. Na bado akomeshwe kabisa muhuni. Bado yule jambazi na jizi mbowe, 2024 lazima tufufue kesi ya ugaidi ahukumiwe kunyongwa hadi kufa kabisa afe
Unachokipanda leo yatakomaa na yatahitaji kuvunwa. Usipoyavuna wewe yatavunwa na jamaa wa nyumbani kwako.
 
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki .

Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani

PIA SOMA
- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

- Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

- Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake
Lema bana unashinda mitandaoni kutuletea habari za kipuuzu tu 24/7
 
Back
Top Bottom