Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,771
- 54,061
- Thread starter
- #361
Thanks shunie, more love less egoHappy birthday to you Intell
Thanks shunie, more love less egoHappy birthday to you Intell
Tena una kuwa Kama boga😀🤣, daah🤒🤣🤣 kudadekiiiiiii
Wata sema mzeee wa kidigitali 😀🤣Na hivi nina Mvi kama zote ...hamchelewi kunizushia mengine 😜
am single Kaka🤓, mapenzi ni ujambazi🤣🤣🤣🤣
"She's cool"
"Beside am single"
What's your story? "mr no malice to anybody"
Kijana,huu mwaka unaweza ukapata kichaa sababu ya mapenzi.am single Kaka🤓, mapenzi ni ujambazi🤣🤣
Kwani lazima bhana , ni wivu wako tu . Kuona dogo niko huru🤓😄Kijana,huu mwaka unaweza ukapata kichaa sababu ya mapenzi.
Tujitahidi tu tukurudishie yule binti,lakini ujeuri umezidi na kumtolea maneno ya dharau.
Au tukuache ufe?🤣
Uhuru wa kukosa mwenza ni mateso.Kwani lazima bhana , ni wivu wako tu . Kuona dogo niko huru🤓😄
Kaka naku ambia uta pigika😃Uhuru wa kukosa mwenza ni mateso.
Thread zako zilikuwa za mahaba,kumsifia yule binti ila siku hizi umehamia kwenye udaku.Kaka naku ambia uta pigika😃
We mwanga tu😁😄Thread zako zilikuwa za mahaba,kumsifia yule binti ila siku hizi umehamia kwenye udaku.
😅
🤣🤣🤣Sema mwenetu yupo flexible sana anabadili gia anganiThread zako zilikuwa za mahaba,kumsifia yule binti ila siku hizi umehamia kwenye udaku.
😅
Kaka uchawi Sio lazima tunguli😁🤣🤣🤣🤣Sema mwenetu yupo flexible sana anabadili gia angani
Wala hata sio uchawi 😁Kaka uchawi Sio lazima tunguli😁🤣
I bear no malice to anybody 🙃December 31 I was finally birthed, it was time for me to find what is this planet worth.
Jamaa home where I got my sernity first, you can say, this is where I was handled my bless.
I have been hustling since a kid and iam so talented based, it was like a game to me, I never knew hustling paid.
Success ideas used to run through my big head, and the same time be the child my parents raised.
If you're from where am from, you know what it is, when you are forced to be a a man. When you are only a kid.
You got bills to pay to people calling you crib, or else you are gonna be evicted and get thrown into the street.
Had to hustle hard to find a way to switch it instead, see you gotta find a purpose or your vision is dead.
This days i got no time to sleeps, cause it's time to chase the big bags.
View attachment 2858079
Sasa nime badili GIA wapi😁😁Wala hata sio uchawi 😁
Forever I mean no malice to nobodyI bear no malice to anybody 🙃
We huoni umebadili gia wapiSasa nime badili GIA wapi😁😁
Kaka Leo sikukuu😁, sitaki dhambi 😂We huoni umebadili gia wapi