Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,677
- 4,964
- Thread starter
- #41
Hapo sasa mnatakiwa kusema Uislamu unafanana na imani ya Ibrahim... Na si kusema Ibrahim ni muislamu, kwa sababu hata hivi leo Ibrahim akifufuka nadhani hawezi kujua maana ya uislamu kwa sababu hakuacha Dini kipindi chake, yeye aliabudu MUNGU tu, inakuwaje nyie mnambatiza dini ambayo haikuwepo nyakati hizo...Ibrahim hakuwa myahudi Wala mkiristo, sababu uyahudi ni ubunifu wa Wana wa Israel baadae Sana baada ya Ibrahim na ukiristo ni kazi ya Paulo,Ibrahim Imani yake ilikua ni juu ya Mungu mmoja,asiyezaa Wala kuzaliwa na Wala kufanana na chochote,Mungu muumba wa kila kitu,ambayo ni Imani ya kiislam
Na pili ukisema kwa sababu wanaabudu MUNGU mmoja, hata wayahudi wanaamini katika MUNGU mmoja, mbona hamsemi uyahudi ni uislam? Nyie mnataka manabii tu