Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,671
4,925
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.
 
Wanasema Islam maana yake "submission to God". So kwasababu Ibrahimu alimuabudu Mungu, alikuwa Muislamu.

Hata mwenyewe sielewi kabisa. Kuhusu hekalu la Sulemani, eneo lilichukuliwa baada ya vita vikali Kati ya Waislamu na Crusaders kuigombania Yerusalemu , wakashinda wakajenga msikiti pale. Kusema ni mali yao mi sioni shida ila shida inakuja maneno kama hekalu ilikuwa msikiti.
 
Mkuu hivi ww siulisha leta mada ya kuwaponda waisilam yakuwa wanatumia muda mwingi kuuongelea ukrisito badala ya mafundisho yao?

Sasa ww mbona haujadili mafundisho ya dini yako badala yake umekaa kuwashwa washwa na Uislam kila dakika?
Maana haiwezi pita siku bila kuleta mada za kuujadili uislam.
 
Submission maana yake ni mnyenyekevu, hata wakristo wako submissive to GOD... Eti kwa sababu ni Submissive uwezi kusema Wakristo ni Waislamu... Kuwa mnyenyekevu kwa MUNGU hakumaanishi wewe ni muislamu... Dini ya waislamu imezikita Dini nyingine za uyahudi na Ukristo, alafu wao wanakuja na maandiko yao kusema eti Ibrahim alikuwa Muislam... Sasa Uislamu si umekuja miaka mingi sana Ibrahim alikwisha kufariki, hata yesu hakuwepo
 
Mkuu hivi ww siulisha leta mada ya kuwaponda waisilam yakuwa wanatumia muda mwingi kuuongelea ukrisito badala ya mafundisho yao?

Sasa ww mbona haujadili mafundisho ya dini yako badala yake umekaa kuwashwa washwa na Uislam kila dakika?
Maana haiwezi pita siku bila kuleta mada za kuujadili uislam.
Mimi nasikiliza mawaidha kujua utofauti wa Dini hizi... Ndio maana ninapopata Duku duku lazima nije kuuliza, siwezi kupata Duku alafu nikae nalo wakati ninaweza kuuliza kwa wenzangu... Mimi sijafungwa Akili, nasikiliza kila pande
 
Hawa jamaa wanafix nying just imagine mudi ndio member wa kwanza kwenye dini yao ,kumbuka kuwa ibrahimu alikuwepo kabla ya mudi
Ndio hapo hata mimi wananiacha njia panda... Kusema Ibrahim ni muislamu wakati Mudi kaja na Uislamu baaaaadaee sanaaaa.... Lakini shehe anasema Quran imeandika Ibrahim ni muislamu 😂
 
Mkuu hivi ww siulisha leta mada ya kuwaponda waisilam yakuwa wanatumia muda mwingi kuuongelea ukrisito badala ya mafundisho yao?

Sasa ww mbona haujadili mafundisho ya dini yako badala yake umekaa kuwashwa washwa na Uislam kila dakika?
Maana haiwezi pita siku bila kuleta mada za kuujadili uislam.
Jibu mada acha blah blah wewe maamuma.
 
Uislam haujaanza kwa Muhammad s.a.w umeanza kwa Adam na mitume wote walikuja kueneza imani moja ya Allah pamoja na ujumbe maalum wa kuacha mabaya waliyokua wakiyafanya na kuhimizwa kufanya mambo mema, na ndiyo maana siyo Abraham pekee hata yesu ni muislam pure, ila nyie ndo hamtaki sijui ni wa wapi 😁😁😁😁😁
 
Unazijua nguzo za uislama? Unajua ili mtu awe muislama anatakiwa afanye nini?
 
Kama Ibrahimu, Adam na wengine walikuwa waislam. Naomba nioneshwe kifungu katika Quran ambapo Hao watu walishahadia kama nguzo mojawapo ya uislam. Maana ili uwe Muislama ni lazima ushahadie.
Acha ushamba kujifanya unajua kila kitu, shahada imekuja katika wakati wa Muhammad pekee,
Shida huja pale ma "Zinga" mnapojifanya kuujua uislam kuliko waislam wenyewe 😁😁😁😁😁
 
Alokwambia huyo ni mtume ni nani? Huyo anafahamika kama jambazi na mbakaji. Mpenda ngono kupitiliza, tapeli na pedophile aliyeongoza kundi la wapumbavu wenzie ili kuua watu na kupora mali zao kwa kisingizio kuwa anaeneza dini ambayo alikopi vitu vingi sana kutoka kwa wayahudi na wakristo
Cc Faiza Fox, The Big Show, Accumen AKA Wafia dini ya mnyaazi mungu 🤣
 
Back
Top Bottom