Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

inauma sana na inatafakarisha sana, natoka mazikoni muda huu, jirani yangu alikua bonge kweli kweli tumempumzisha na kilo2! kweli?
Hili Jambo ni la kufumbia macho kweli au kunyamaza?

Na jamaa alikua jasiri kama wewe alikua anasema kwamba hii kitu si ya kuogopa tuishi nayo kama ndugu
Apumzike panapostahili .

Je unajua ni kipi kinanipa ujasiri ? Ujinga wake umemtanguliza kwa kagonjwa kauongo hako kwanini nasema hivi ?

Rafiki siku hizi kuupata utake wewe tu .

Usiogope shiriki ngono zembe niko hapa kukuambia ufanyeje ukilala na mwenye huo ugonjwa wa mchongo
 
😭 inauma sana na inatafakarisha sana, natoka mazikoni muda huu, jirani yangu alikua bonge kweli kweli tumempumzisha na kilo2! kweli?
😭Hili Jambo ni la kufumbia macho kweli au kunyamaza? 😭😭

Na jamaa alikua jasiri kama wewe alikua anasema kwamba hii kitu si ya kuogopa tuishi nayo kama ndugu 😭
Marehemu alikuwa mzembe,hakuzingatia dawa
 
Ukimwi ungekuwa serious kwa jinsi Lifestyle ya watu nayoiona huko mtaani hii nchi tungebaki watu wawili tu.

Nothing serious.

Hayo MAGONO na ndugu zake wakina KASWENDE ndio balaa.. wengine wanasingizia UTI.
Mi huwa nina desturi ya kuwapima ninaoshiriki nao aloo juzi nimekutana na mwenye zaga zake alafu nusu niteleze
Mpaka .. anapima alikuwa hajui au ...
 
Back
Top Bottom