Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,032
12,274
Hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G.

Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.

Wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers.

Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.

Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.

Ukimwi upo Unaua mbaya sana.
 
hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G.

wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.

wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers.

MLETA MADA TULIA UTUELEZE VIZURI. UKIMWI ULIWAHI KUMUUA NANI? UKINIJIBU NITJUA HUJATUMWA NA WAZUNGU. Ukimwi sio ugonjwa wala Ukimwi hauambukizwi
 
hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G.

wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.

wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers.

Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.

Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.
Ukimwi upo Unaua mbaya sana.
Bado unaogopa haka kaugonjwa ?
Duh kweli unaishi zama zipi bwana wewe ?
 
😭 inauma sana na inatafakarisha sana, natoka mazikoni muda huu, jirani yangu alikua bonge kweli kweli tumempumzisha na kilo2! kweli?
😭Hili Jambo ni la kufumbia macho kweli au kunyamaza? 😭😭

Na jamaa alikua jasiri kama wewe alikua anasema kwamba hii kitu si ya kuogopa tuishi nayo kama ndugu 😭
 
sidanganyiki dingii. Ukimwi unakupotezea direction
Tofautisha VIRUSI NA UKIMWI ndg. Hapo hakuna ugonjwa kati ya hivyo viwili. Kuna magonjwa yanayoua mkama TB, KANSA, MALARIA nk. Usiogope ngono kwasababu ya Ukimwi bali jiheshimu na kumweshimu Mungu maana UKIMWI ni miradi ya watu wala sio ugonjwa. Kama sio Trump na Magufuli leo madakitari wa kizungu wangeshatumaliza na machanjo ya CORONA Ili nchi zao zijipatie fedha nyingi bila huruma.
 
mie nimezungumzia ukimwi leo.
Siku nyingine inaweza kua hayo mengine
 
Back
Top Bottom