miles45
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,481
- 8,329
Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha.
Ni hi atakanyaga mafuta hadi pedo iguse bodi la gari, atalikimbiza na kubadirisha gia bila fomula, atalikwangua pande zote na kugongesha kwenye kingo za barabara,atapiga drift za kutosha pale njia panda ya kwenda tigo au voda, mara nyingi atatumia barabara ya vumbi na sio lami ili alizamishe kwenye tope huko uswazi hata heshimu sheria za barabara wala mikono ya trafki kikubwa afike anako enda.
Baada ya kuibiwa atalitelekeza, ataliuza kwa wengine asipo kuonea huruma sana atalichinjachinja.
NB
Hii story haihusiani na magari