Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,858
- 7,620
Huwa mnakataa lakini mwisho wa siku mnaumbuka.
Ukweli ni kwamba huyu Diwani hawezi kukaa Mwandiga akafanya Kazi ya Mbowe akaacha ya Zitto wakati Historia yake imetengenezwa na Zitto mwenyewe.
Muda utasema, endeleeni kujifariji. Chadema ni zilipendwa Kigoma yote.
Kazi ya Mbowe ni kuwaletea ukombozi watanzania.
Kazi ya Zitto ni kusaliti jitihada za ukombozi Tanzania
Mbowe na Zitto wanafanya kazi mbili tofauti