M malembeka18 JF-Expert Member Jan 26, 2018 2,781 2,722 Jan 19, 2024 #1 Habar wakuu nauliza Kuna kampuni yoyote ya magari rout ya dar Moro gari zake zinaondoka huo muda wa saa kumi usiku
Habar wakuu nauliza Kuna kampuni yoyote ya magari rout ya dar Moro gari zake zinaondoka huo muda wa saa kumi usiku
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,233 18,499 Jan 26, 2024 #3 Abood wanayo basi ya saa 10.30 alfajiri kwenda Dar, nafikiri hata BM.... Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app
Abood wanayo basi ya saa 10.30 alfajiri kwenda Dar, nafikiri hata BM.... Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app