FURSA ZINAZOPATIKA KIPINDI CHA MAVUNO YA UFUTA MAENEO YA KILWA KUANZIA MAY MPAKA AGUOST KILA MWAKA

Jul 14, 2021
29
30
Habar, hii taarfa nilishawai kuandikq siku 3 au 4 zilizo pita Sasa baada ya watu wengi kutoelewa na kuisi vibaya nmerudinna kuweka KILA kitu wazi fursa zinazopatika kwenye msimu huu wa mavuno ya Zao la ufuta.. 1. Unaweza kununua ufuta Kwa wakulima na ww ukauza kwenye vyama vya msingi na ukapata faida. Kwa mfano msimu wa kilimo (2021-2022) Bei ya ufuta Kwa wakulima ilikuwa kilo moja kati ya tsh1500 mpaka TSH 2500,, kwenye vyama vya msingi ilikuwa kilo Moja kati ya 2800 mpaka 3600,, msimu wa (2022-2023) yani msimu mwaka Jana Bei Kwa wakulima ilikuwa kilo Moja kati ya tsh2000 mpaka tsh3000, Bei ya vya msingi Kwa kilo Moja ilikuwa kati ya TSH 3500 mpaka 4000.,, Unaweza kujiuliza Kwa Nini mkulima auze Bei ya chini wakati kwenye vya msingi bei Iko juu Sasa mfumo uko hivi, vya vya msingi vinakusanya ufuta alafu watangaza tarehe ya mnada kwa matajili wakubwa ambao wanapeleka ufuta nje ya nchi atae fika bei juu ndo anauziwa Sasa basi huu mchakato unaweza kuchukua wiki hadi wiki2,, Sasa baadhi ya kulima wanaona kuchelewa huo mzinguko, wengine wanauza ilikupa pesa ya gharama ya uendeshaji mfano mkulima aweza kupata tan 3 au 2 analazimika kuuza alau kilo 300 Ili apate pesa ya usafilisha wa mzigo wake kupeleka kwenye magala ya vyama vya msingi,. Pia baadhi ya wakulima awapeleki kwenye vyama vya msingi Kwa sababu hana account ya bank, mana vyama vya msingi vinafanya malipo ya mazao ya mkulima kupitia bank Fursa nyengine kwenye hiki kipindi Cha ufuta ni biashara ya fedha mtandao, yani Iki kipindi Cha ufuta mawakala tgopesa, airtelmoney, halopesa, ila wakala wa nmb ndo utaishiwa ela mana wakulima walio na account ya bank 90% ni nmb.. ukiacha na ayo kipindi hiki Cha ufuta biashara ya vyombo inatembea sana mana hiki kipindi wakulima wanakuwa na hela wamama wanapenda sana kununua vyombo..Nguo zinauzika pia, kwangu mm hiki kipindi kidogo sana Hila kipo vizuri sana Kwa mjasiliamali,, ww Mtanzania unaweza kuifuta hii fursa

From kilwa..
 
Back
Top Bottom