FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Posta ya mechi yenyewe inajieleza, kazi kazi.

Prison ni wagumu ila muhimu ushindi, wakicheza vizuri kama DRC na sisi tukiondoka na ushindi kama SA ndilo jambo la msingi.
Aisee! mmeingiza upepo mapema sana.
 
Kibabage ni bonge la mchezaji.
Binafsi namkubali sana.
Hata ukimweka namba 9 anafunga magoli bila shida.
Kumbuka hata Mayele hakuanza kama mfungaji.
Kwa iyo Kibabage ni Bora kuliko Guede!
Guede apewe nafasi hata msimu mzima.
 
Ni vizuri tukamilishe mzunguko Leo kwa ushindi 13 draw 1 na lose 1 Kisha mzunguko wa pili tunyooshe goti mazima kwa kuwapiga wote akiwemo kolopwinyo
Prisons hawatawaacha salama.
Nimeangalia mazoezi yao Asubuhi hii, nikawasikitikia sana Uto aisee.
 
Prison wanavyopenda kucheza mpira kazi waliopaka bleach lazima wajute. Yanga lazima wakamiwe
Shadeeya
Kocha kama hajajifunza na kuja na mbinu m'badala tutamshangaa sana.
Sababu kuna mbinu za kufanya endapo timu imeamua kukamia.

Gamondi atafute mbinu za kuwin hizi mechi za kukamiwa.
 
Prisons hawatawaacha salama.
Nimeangalia mazoezi yao Asubuhi hii, nikawasikitikia sana Uto aisee.
Angekuwepo yule mzee Minziro ningeamini maneno Yako nje ya hapo watakaa mazoezi ni tofauti na mechi halafu wameonesha clips walizowaka za kuchelewa hawajaonesha
 
Kocha kama hajajifunza na kuja na mbinu m'badala tutamshangaa sana.
Sababu kuna mbinu za kufanya endapo timu imeamua kukamia.

Gamondi atafute mbinu za kuwin hizi mechi za kukamiwa.
Okrah akianza tunashinda asubuhi ila mkude awe nje kwanza
 
Angekuwepo yule mzee Minziro ningeamini maneno Yako nje ya hapo watakaa mazoezi ni tofauti na mechi halafu wameonesha clips walizowaka za kuchelewa hawajaonesha
Nimeshuhudia Live.
Dah!! Nikawahurumia sana Utopo
 
Back
Top Bottom