Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,937
- 38,917
Kapige wewePrisons wamenyimwa penati ya wazi kabisa.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Kapige wewePrisons wamenyimwa penati ya wazi kabisa.
Endelea kuweka kambi na fisi wako mpira achana naoMimi ni Yanga lia lia ila acha niseme ukweli team kwa sasa ni mbovu mno, kocha mbishi yeye na benchi lake la ufundi hawajui walitendalo kabisa 😁
Mwamnyeto akikutana na forward zenye fresh muda wote tusije kulaumiana tu.Golikipa Metacha Mnata, baada ya Mwamnyeto kufanya kosa la kiufundi.
Bacca huwa anafunika sana makosa ya Mwamnyeto ndio maana anapokosekana makosa yake yanaonekana waziwazi.Mwamnyeto akikutana na forward zenye fresh muda wote tusije kulaumiana tu.
Anaweza kurudiJohora ni golikipa mwenye vigezo vingi sana vya kuwa golikipa bora. Ni vile tu alipokuwa Yanga hakuaminiwa.
Habari za jioni kakaHii nishaibetia kabisa.
Kwa Mbeya hamchomoki.
Pamoja na pilika pilika zenu nyingi mno.
Mtashangazwa!!
Salama kaka.Habari za jioni kaka
Mashabiki wa Bongo mnaanza wenyewe kutukana wakirudishia inakua nongwa. Ndio maana Morrison huwa anawanyoshea Mido finga.Mimi hapa nikimuona Tu roho yangu inadunda... Simpendi kabisa Kwanza nilishangaa alirudishwaje na alitukana mashabiki tusi kubwa SITAKUJA kumsamehe kabisa
Walitaka kutuletea wenge .Tutawapiga dakika za mwanzo kabisa ili wachanganyikiwe tuwakande kisawa sawa.
Dua imetimiaHahahaaa! Utajiju jirani.
😂😁😁KakaSalama kaka.
Timu yako bado inahangaika kujilinda
Siku hizi hayatishi kama enzi za Benjamin Asukile alipokuwa on fire! Mwamba nilikuwa namkubali sana! Alikuwa anajua kukaza siyo kidogo!Haya madogo huwa yanapenda sifa..
Shoga la manzese
Kwani siyo golikipa wa Yanga?Kwa akili za Gamondi, msije mkashangaa golini akampanga Metacha.
Game limeisha, vipi, bado unataka tukutane au mambo haya yanaongeleka..!!??Tukutane baada ya game.
Kwa hili najiamini sana mkuu
Nyie komaeni na Guede mwisho wa msimu mna anza maandamanoGwede mtu