financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,149
- 40,751
Thank you mkuu, ntamfikishia huu ujumbeAsome community development anaweza kuja kupambana kwenye NGOs na Wizara ya maendeleo ya Jamii. Naamini Gender development iko ndani humo
Thank you mkuu, ntamfikishia huu ujumbeAsome community development anaweza kuja kupambana kwenye NGOs na Wizara ya maendeleo ya Jamii. Naamini Gender development iko ndani humo
Atamaliza chuo alaf hatopata cha kufanya
Kifupi hizo kozi ni wastage of time kwa dunia ya sasa
Hawezi kuwa mwalimu. Nashauri asisome kabisa hiyo kozi, unless anataka kuwa Jobless mwandamiziMwenye ujuzi ,hivi BACHELOR OF ART IN HISTORY anakuwa Mwalimu Au Mwana Historia?
Acha uongo jamaa MD kafanyeje....?Kuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake.
Mwambie anitumie cv yake huyo mwamba chap kwa haraka kuna mchongoKuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake.
MD kukosa nafasi hata ya kujitolea ni uongo sana.Kuna mtu kasoma MD kakosa hata pakujitolea, kama anasoma asome kila mtu na bahati yake.
Atakuwa MD wa mchongoMD kukosa nafasi hata ya kujitolea ni uongo sana.
Jobless mwandamizi........Hawezi kuwa mwalimu. Nashauri asisome kabisa hiyo kozi, unless anataka kuwa Jobless mwandamizi
Kapata chuo,sema ataapply tena,Lazima u apply, asipo apply means ni hakwendi chuo…
Hawezi pigwa chini vyuo vyote, aangalie kwa acc yake
Mbona ukifungua kwenye website Yao unaona wameandika section lakini pdf haipo?Wametoa PDF la first selection au ni kwenye account ya mwombaji?
Kama una multiple selection unafanyaje ku comferm chuoAnhaaa!shukrani mkuu
Subiri yakukute au yamkute mtu wa karibu Yako ndo utaelewa mkuuHii kitu haiwezekani
Mwisho wa ku comferm ni liniAingie kwenye account yake
Nimetumiwa SMSMwisho wa ku comferm ni lini
Asante mkuuNimetumiwa SMS
Mwisho Sept 06
Na nani?Nimetumiwa SMS
Mwisho Sept 06
Code 15200 bila shaka ni TCU wamenijulisha nimechaguliwa multiple selection , wametuma confirmation code na kunitaka nicofirm kimoja pekeeNa nani?
OkCode 15200 bila shaka ni TCU wamenijulisha nimechaguliwa multiple selection , wametuma confirmation code na kunitaka nicofirm kimoja pekee