First round selection

Asome anachokipenda Tatizo Tz Tunasoma under influence za watu .The passion's weapon
Kuhusu ajira bahati ya mtu na kadar zake mungu mpe dogo ushauri afate k2 roho inapendaa hatujutia
Kuna jamaa yangu X juzi nimekutana nae mkoa X baada ya miaka 4 tangu mara ya mwisho kuonana mchizi alikua amepiga bachela ya Agriculture pale SUA alikua na njaa ile mbaya na tulihangaika sana time ile nilimjua wakati nipo college na yeye yuko mtaani basi nimekutana nae huo mkoa X juzi now kaajairiwa kampuni ya private inayojihusisha na maswali ya kilimo na utafiti wa mbegu ebwana enhee nilienda kwake sikuamini maisha anayoishi sasa hivi yaani ni kama nilikua naota kwa jinsi tulivyoachana mara ya mwisho.

Ndani kuna kila kitu kila na mjengo safi japo kapanga maana kazini hana hata mwaka take home anachukua 1.7M anawekewa vocha laki 1 kwa mwezi na takataka kibao bado gari inamchukua na kumpeleka na kumrudisha kazini kweli sometime kutoboa ni bahati ya mtu na wakati maalum kwa ajili yako ukifika unatoboa.
 
GOD'S PLANNING tujifunzee kujiamini na sio wanavyo viamini watu baki hatima sahihi ya maisha ya mwanadamu iko kwa mungu yani
DREAMS/PASSION + EFFORT + prayers =Successfully.
 
Mimi kijana wangu amechaguliwa UDOM na UDSM changamoto sijui ni program gani alizochaguliwa na ni utaratibu gani unafata. Naomba kusaidiwa, nikiingia kwenye tovuti ya vyuo hivyo Sion taarifa yoyote.
 
Back
Top Bottom