Faida za Kujamiiana

bigmen

Senior Member
Jul 3, 2020
147
315
Habari Wana jf
Leo nataka niongelee kidogo kitu inaitwa sexy/kujamiiana kwa ufupi Sana,

SEXY ni kitu Cha maana Sana hapa duniani maana bila hiyo kitu leo sisi tusingepiga story apa, inafainda mbali mbali kama vile ...

-kurefresh akili kwa jinsia ME
Fikiria tuu unapokuwa hujafanya hii kitu kwa kitambo nini kinakukuta, hasira mara kwa mara, mjegeje kusimamia hovyo, kusahau hovyo,

-kuongeza nguvu kwa jinsia KE
Mara mingi kwa wanawake mabondia na wacheza mpira wa miguu huwa wanatumia hii njia kwa ajili ya kupata nguvu wanapo kuwa kwenye pambano,
Hivyo wanawake wanashauriwa kufanya sexy sikumoja kabla ya mtihani au pambano au mchezo wowote wa kutumia nguvu.

Jamani msiache kufanya sexy au kujamiana maana kujamiana ni sehemu ya maisha, ni muhimu Sana kwenye maisha yetu,

Ulisha wahi kupatwa na changamoto gani ngumu ilio kuumiza kichwa Ila baada ya kujamiiana mwenza wako ukapata utatuzi? Au ukajisikiabkupata nguvu
 
sexy ndio kujamiiana?
 
Hapa naona terminology mbili zenye maana zinalazimishwa kua na maana Moja, ila lengo la mtoa mada ni kudinya...kudinyana ni muhimu Sana
 
"Sex is important but not compulsory"

Kuondoa kuzalishana sex dysfunctional in our daily life only dumbers can be trapped driven by sex.
 
Masikini ndio wanawaza sana ngono mda wote ili kuzidi kusambaza laana ya Umasikini kupitia ngono
 
Habari Wana jf
Leo nataka niongelee kidogo kitu inaitwa sexy/kujamiiana kwa ufupi Sana,

SEXY ni kitu Cha maana Sana hapa duniani maana bila hiyo kitu leo sisi tusingepiga story apa, inafainda mbali mbali kama vile ...

-kurefresh akili kwa jinsia ME
Fikiria tuu unapokuwa hujafanya hii kitu kwa kitambo nini kinakukuta, hasira mara kwa mara, mjegeje kusimamia hovyo, kusahau hovyo,

-kuongeza nguvu kwa jinsia KE
Mara mingi kwa wanawake mabondia na wacheza mpira wa miguu huwa wanatumia hii njia kwa ajili ya kupata nguvu wanapo kuwa kwenye pambano,
Hivyo wanawake wanashauriwa kufanya sexy sikumoja kabla ya mtihani au pambano au mchezo wowote wa kutumia nguvu.

Jamani msiache kufanya sexy au kujamiana maana kujamiana ni sehemu ya maisha, ni muhimu Sana kwenye maisha yetu,

Ulisha wahi kupatwa na changamoto gani ngumu ilio kuumiza kichwa Ila baada ya kujamiiana mwenza wako ukapata utatuzi? Au ukajisikiabkupata nguvu
Kwa kufuata utaratibu, sio kujamiiana hovyo hovyo kama mifugo...
 
Back
Top Bottom