EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, yamepanda bei tena

Harafu tulivo mapimbi ikifika kipindi cha uchaguzi wanapunguza bei na sisi tulivo majuha tunasahau.Hata nauli uchaguzi ukianza utaona wanapunguza ...
 
Hiv
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA
PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 MEI 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe1 Mei 2024 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Mei 2024, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali
Na. 1 na 2, mtawalia.

JEDWALI 1: BEI KIKOMO ZA REJAREJA (SHILINGI/LITA)

Mkoa wa Dar es Salaam Petrol 3,314, Dizeli 3,196 Mafuta ya Taa 2,840

Tanga 3,360 3,242 2,886
Mtwara 3,317 3,200 2,913

View attachment 2977930
View attachment 2977945View attachment 2977946View attachment 2977947View attachment 2977948View attachment 2977949View attachment 2977950View attachment 2977951View attachment 2977952
Hivi hatunaga askari kama wa west Afrika wanaowaondoa watawala dhalimu madarakani?
 
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA
PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 MEI 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe1 Mei 2024 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Mei 2024, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali
Na. 1 na 2, mtawalia.

JEDWALI 1: BEI KIKOMO ZA REJAREJA (SHILINGI/LITA)

Mkoa wa Dar es Salaam Petrol 3,314, Dizeli 3,196 Mafuta ya Taa 2,840

Tanga 3,360 3,242 2,886
Mtwara 3,317 3,200 2,913

View attachment 2977930
View attachment 2977945View attachment 2977946View attachment 2977947View attachment 2977948View attachment 2977949View attachment 2977950View attachment 2977951View attachment 2977952
MTANYOOOOOKAAA TU WENYE MAGARII YEBU MNAHISI ZIKE SHELI ZENU
 
Maana yake kila zinapanda mpaka kodi ya nyumba sababu vifaa vya ujenzi ubebwa na gari ambazo gharama za usafiri zimepanda
 
Kuhudumia mwili lazima iwe gharama mkuu, maana mwili ndiyo kila kitu, Haya mapetroli yangeshuka hata yawe 1,000 kwa lita
Hata Lita moja ya bia ni 4,000
Mkuu Kuwa makini na kile unachokitamani.Lita Moja ya Biani zaidi ya 4000 ila Bei ya Mafuta inapswa kuangaliwa kwa makini sana.Ikiendelea Kupanda Bei ya Lita ya Bei itafika Milioni
 
Back
Top Bottom