Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,867
- 3,586
Kumekuwa na kesi nyingi za akinamama na wanawake kwa ujumla za kuumwa mara kwa mara UTI na magonjwa mengine ya zinaa na kibaya zaidi magonjwa hayo kujirudia hata baada ya kupata matibabu.
Nipo hapa kuwaambia ivi magonjwa mengi kwa sasa yana dawa ikiwa pamoja na haya ya zinaa na kama umefuata masharti swsw ya matumizi ya dawa uwezekano wa kupona upo.
Sababu ya magonjwa kujirudia kwa mtazamo wangu zinaletwa na michepuko. Baba anachepuka anapata UTI au ugonjwa mengine ya zinaa anakuletea wewe.
Wababa wengi hata humu Jf wamekuwa wakilalamika kunyimwa tendo na wenza wao tena wengine ni wake zao wq ndoa. Kwa mimi huu naona ndio mzizi wa matatizo haya.
Wanawake mnatakiwa kujua lile tendo kwa wanaume ni hitaji la msingi sio anasa na usipompa wewe atalitafuta tu uko kwingineko. na ikifika apo ishu inakuwa ni kutuliza kiu kwanza na mambo ya usalama wa afya yanakuwa sio kipaumbele tena mwisho wa siku anakuletea ayo magonjwa yasiyokwisha.
Kama mnakomoana basi tafuta engo zingine za kukomoana lakini sio kunyima tendo maana hapo unakuwa unajitafutia matatizo wewe mwenyewe.
Usiseme sijakuambia.