ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,945
- 45,919
Siku hizi hakuna kupoteza muda unatongoza saa 12 jion saa 2 usiku unapiga au hutongozi kabisa unashika tu kiufupi wamekuwa Maharage ya mbeya..
nifikirie mremboSawa Mkuu
mwendo wakudanganywa tuu😁😁😁Drama ni nyingi mkuu
#muuza madafu ikulu kumbe commando
Umeme wenyewe tunanunua na kupewa hapohapo.Ila vijijini bado wapo wa hivyo, huko unatongoza kademu Kisha kanakwambia ukapatie siku 3 kafikirie
Na wewe pia unakuwa kwenye half ya kula 50 zakoDaa " Naomba basi unifikirie, mi nakupenda sana, sina mpango wa kukuchezea, nielewe grace"
Grace: sawa nipe muda nifikirie"
Hapo unakua uko half ya safari
Hapa kijijini kwetu tuna ishu inaitwa chagulaga.Hatusumbuki.Siku hizi hakuna kupoteza muda unatongoza saa 12 jion saa 2 usiku unapiga au hutongozi kabisa unashika tu kiufupi wamekuwa Maharage ya mbeya..
Zamani ilikuwa ni PENZI ila kwa sasa ni BIASHARA.
Wanajua fika ni lazima huduma iwe nzuri na ya haraka.....vinginevyo mteja atahamia kwa wengine.