Edo Kumwembe: Fiston Mayele anaumia sana kuona Yanga inafanikiwa bila yeye

Mayele alipofanya interview Azam tv yanga walilalamika mpaka ikaondolewa, Ila vilaza kina kumwembe wakimwandika vibaya Mayele mnashangilia hamsemi habari ifutwe.
Mayele anatakiwa kuachana na tabia ya uropokaji na pia ajifunze kuishi kama professional player. Hana sababu ya kulumbana na watu asiowajua mitandaoni, na pia kutoa siri za timu alizochezea/anazochezea.

Ikimpendeza, ajikite zaidi kwenye kazi yake ya kucheza mpira.
 
Haya anayo ongea Mayele alitakiwa kuja kuongea akiwa amestaafu soka sio wewe bado unacheza mpira unaongelea mambo ya club yako uliyoitumikia. Hata ukipata club mpya hawatakuamini sababu kesho ukiondoka utawasema tu. Ni kama ukiona mtu anakuja kwako kuleta umbea wa watu basi juwa na wewe huko anakoenda atakusema na wewe.

Mayele kakosea sana wewe bado proffesional player na safari bado unayo kelele za nini juu ya x wako(club) move on ongelea club yako mpya tu.
 
Ndo maana inaitwa Europa League na Siyo Uefa champions league
Ona ulivyo hauna akili.
Ile inaitwa EUROPA EUFA LEAGUE,kama unavyoona kuna Uefa conference league.
Ni mashindano yote ya UEFA ila ngazi tofauti,kuna Uefa klabu bingwa(UCL),kuna Uefa shirikisho(EUROPA),na kuna uefa conference,yote ni Uefa ila ngazi zinatofautiana.
Na hata shirikisho Afrika ni CAF confederation Cup bimaana kombe la shirikisho barani Afrika.
Hivyo CC na CL vyote ni vya CAF,ndio maana vinaitwa CAFCL na CAFCC.
Muachage ushabiki maandazi.
 
Ona ulivyo hauna akili.
Ile inaitwa EUROPA EUFA LEAGUE,kama unavyoona kuna Uefa conference league.
Ni mashindano yote ya UEFA ila ngazi tofauti,kuna Uefa klabu bingwa(UCL),kuna Uefa shirikisho(EUROPA),na kuna uefa conference,yote ni Uefa ila ngazi zinatofautiana.
Na hata shirikisho Afrika ni CAF confederation Cup bimaana kombe la shirikisho barani Afrika.
Hivyo CC na CL vyote ni vya CAF,ndjo maana vinaitwa CAFCL na CAFCC.
Muachage ushabiki maandazi.
Acha kuandika maneno mengi alafu ujinga mtupu, mambo ya betting yametuletea wajinga wengi sana kwenye football
 
Acha kuandika maneno mengi alafu ujinga mtupu, mambo ya betting yametuletea wajinga wengi sana kwenye football
JF forum ya Leo wajinga mna Confidence kuliko watu wenye akili.

Mwaka 1993 Simba ilicheza Fainali na Stella Abidjan kwenye kombe gani?
 
Hakuna mtu anayeweza kumtakia mema X wake!
Siyo kweli, kuna X huwa namboost mpaka financially akiwa na shida, haya ni mawazo ya kijinga.

Yanga amepita Shaban Nonda amecheza mpaka UEFA na hajawahi kuwa mjinga.

Amecheza ligi kuu za Ufaransa na Uingereza na timu ya Taifa ya Congo.

Mayele hafikii hata robo ya profile ya Nonda Shabaan Papii.
 
Acha kuandika maneno mengi alafu ujinga mtupu, mambo ya betting yametuletea wajinga wengi sana kwenye football
Fala wewe kubali kuwa hujui na uache ubishani wa kishamba.
Tizama hapo chini mashindano ya klabu yanatangulia kwa jina gani.

Halafu mie sio mtu wa kubet jiheshimu.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-04-19-10-45-16-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-04-19-10-45-16-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    241.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-04-19-10-43-46-87_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-04-19-10-43-46-87_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    102.5 KB · Views: 1
Fala wewe kubali kuwa hujui na uache ubishani wa kishamba.
Tizama hapo chini mashindano ya klabu yanatangulia kwa jina gani.
Unatumia nguvu kubwa kuuwa sisimizi Kwa nyundo.

Vitoto vilivyozaliwa wakati wa Jakaya vingi vina roho tu havina nafsi, hawana akili kichwani.
 
We hujui hata unachojibu ni nini kwa kifupi hujui mpira
Fala wewe.
Kweli ni ngumu kushinda mjadala na mtu anayejielewa ila ni karibia na haiwezekani kushinda mjadala na mpumbavu anayejifanya anajua(ambae ni wewe).
Uwe na asubuhi njema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom