KIBAKI GENIOUS
Member
- Jan 29, 2020
- 36
- 35
Ni wapi nimesema kuhost headquarters za UN ndicho chanzo cha werevu wetu! Hiyo ni mojawepo ya sababu ambazo zinafanya Wabeberu kuona ngumu kusababisha vita Kenya, ukisababisha vita Kenya macho yote ya ulimwengu yatapata habari kuwa ni wewe unayeisababisha na kwa hivyo mambo yako yataharibika. Uhuru Kenyatta alipochukua hatsmu za urais jambo lililokuwa la kwanza ni kuwaita matais wote wa kiafrika makao makuu ya AU mada ikiwa kwani mahakama ya ICC iliundiwa mtu mweusi tu! .Natumai unapata picha jinsi Kenya ilivyo nomaa. vita vingi husababishwa na raslimali kama petroli na madini mengineo, ufaransa na nchi nyingine za kimagharibi huzua vurughu wakitumia waasi ili wafyonze hizo raslimali. DR Congo,South Sudan,Gabon,Angola na nyinginezo zimekumbwa na vurughu ilihali zina utajiri mkubwa wa madini kwa sababu Wafaransa na wabelgiji ndio wenye kuyaiba madini yao.Unasema wakenya ni watu werevu kuliko wote Africa mpaka wazungu wanawaogopa lakini hapo hapo unasema kigezo cha ninyi kuwa werevu Africa na wazungu kuwaogopa ni kwa sababu mnahost UN offices, Google, US embassy, Microsoft, ngos
Kweli wewe mkenya
Msiba huu