Dogo mmoja baada ya kurudi shule akawa anaongea na baba yake

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.
BABA: Kwanini unasema hivyo?
DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.

ungekua wewe ungemjibu nini?
 
dogo apelekwe mbeya day tu au atafutwe msigwa awe ticha wa tuition
 
Back
Top Bottom