Dkt. Slaa na siasa za kubadilika kama kinyonga

Slaa ni muhuni kama wale wahuni anaowataja Polepole, usije shangaa 2025 akawa mgombea urais wa chadema, maana chadema nao wametingwa kwelikweli kwa sasa
 
Wakati Mkapa - ccm
Wakti wa Jk - chadema
Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM
wakati wa Samia - Mfuasi wa Chadema

anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
Mimi nadhani hiyo ndiyo siasa. Mwanasiasa yuko kwa maslahi yake binafsi na siyo maslahi yako
 
Hizo ndiyo siasa nzuri. Kama hauungi tena mkono sera za chama si unaondoka. Wanaofanya siasa za ushabiki maandazi ndiyo huendelea kushabikia na kutetea chama chao hata kama wanaona hawakubaliani tena na sera na mwenendo wa chama hicho. Ingekuwa vema wote tungeiga mwenendo wa Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom