comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,289
- 6,002
"Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais, tumekuwa tukiwabembeleza wanachama wenzetu kugombea Urais akiwemo Dkt Slaa kumekuwepo na 'trends' hiyo kwamba hatujawahi kuwa na watu wenye nguvu sana hasa ya kuleta ushindani na hata nguvu za kuweza kushinda kwenye Urais lakini kwa wakati huu tumekuwa na Freeman Mbowe na Tundu Lissu ,"
- Bob Chacha Wange Mwanachama wa CHADEMA
- Bob Chacha Wange Mwanachama wa CHADEMA