Diploma in Clinical medicine vs banchelor in cardiovascular technology

tss

Member
Aug 31, 2023
73
38
Hello habari,

Kwa aliyesoma kozi Moja wapo kati ya hizo ipi inasoko Kwa Tanzania,na ipi ni rahisi kujiajiri,je kiwango chao cha mshahara.

Kwa ajira ya Serikali kipoje.
 
Hello habari,Kwa aliyesoma kozi Moja wapo kati ya hizo ipi inasoko Kwa Tanzania,na ipi ni rahisi kujiajiri,je kiwango chao Cha mshahara Kwa ajira ya Serikali kipoje.
Kwakwelii clinical medicine ni maumivu.

Soko la ajira ni pagumu maana vyuo ni vingi sana na wahitimu nafasi chache.

Mshahara kwa clinical officer ukiajiriwa serikalini around laki 6.

Vinginevyo tuko kijiweni tunajitolea bure au wapende wakupe elf 10 za kushkia watu shift basi.

Kugumu sana.

Ukipata gpa chini ya 5 jiandae kuteseka kupata degree ya MD
 
Vp kuhusu cardiovascular technologist
 
Kwakwelii clinical medicine ni maumivu.

Soko la ajira ni pagumu maana vyuo ni vingi sana na wahitimu nafasi chache.

Mshahara kwa clinical officer ukiajiriwa serikalini around laki 6.

Vinginevyo tuko kijiweni tunajitolea bure au wapende wakupe elf 10 za kushkia watu shift basi.

Kugumu sana.

Ukipata gpa chini ya 5 jiandae kuteseka kupata degree ya MD
Clinical Medicine Diploma (clinical officer) kwa sasa wanachukua 740k Basic..

Kuhusu Cardiva... kwa Tanzania ukisoma ukiridi ni sawa na bure kwa Sababu MCT bado hawaitambui hiyo course
 
Take home nafikiri wanapata 640k .
Pesa ndogo sana aiseee
 
Back
Top Bottom