Dark days 17/03/20...

Ubaya wa haka ka mchezo katajirudiaga tu huko mbeleni ....
Inaweza kuwa hata miaka 10-15 toka sasa
Kataumiza upande mwingine

👣
Ukisoma kifo cha J.F.Kennedy , mauaji ya papa paul wa sita inakupa urahisi kutafsiri kifo cha wale raia ndani ya mjengo😁

Kongole kwa muhadithiaji ,👏👏👏kijana uandike kitabu tu .....
 
Inaendelea.......

60 days before the dark days ........


(Flash back)

Some one called the boss na kumwambia your in danger, some people are planning to take you out! Hawako nafuraha ya hiki unacho fanya! Boss kama kawaida yake kujiamini sana, anadai yeye anaprotection ya kutosha, and if, alisalimika last time akiwa kama cashier wa kampuni ni urongo na upuuzi akiwa the CEO kuwa termineted!!

The boss anaamua kuongeza udukuzi kwa adui zake, lengo awaumbue kumbe they knew and walimpa alichotaka asikie but behind the corridor unyeti wa mambo unaendelea

Kosa kubwa ni kumundermine the old boss A.K.A the king maker!! So the old boss alijua kuna the old CEO kabla yake ambaye ndie alimtengeneza huyu CEO wa sasa. Hata wakati wa mapendekezo tha CEO aliinsisit huyu CEO apewe nafasi kuinusuru kampuni!! Na inavyo onekana huyu ndie behind the scene director wa the existing CEO

They called a meeting, involving one of his closest top security friend from the company! And then come up with targets chart board! Ile bord ilikua ikimuonesha the new boss nasubordnates wake wooote wanaompa kiburi



Wakati huo, big boss nayeye akiwa ajui akaona am cut off totaly old boss in the company, aka select new secretary akamuondoa the old one, then na new public relation officer, wote wakiaminika hawakuwahi kuwa ndani ya kampuni!! Maswali kwa wafanyakazi wa chini walio dhani wana opportunity ya kuchukua hizo nafasi yakaanza but hofu iliyafanya yapoteee

The top security navijana wake wakaidentify targets wao na kupewa go aheard, but before anything kulikuwa na a very deep informer direct kutoka kwenye meza ya new boss!!

bwana weee!!
Wakaanza na yule old CEO, pitanaye in a way no one noticed!

Big boss was shorked and hakuamini! He was told he died from a normal death! One thing he didnt know is that, inside the office kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kwa the old boss, na huyu mtu ni mtu wake wa karibu sanaaa!

The new boss ameshaangaika kumjua huyu mtu but amefail several times. Huyu mtu ndio alitoa time table ya the old CEO anaye aminiwa na new CEO wapi watakutana so that the agent responsible for the assasination can do his job!!

Huyu mtu ndie anaetoa taarifa kwa the old CEO timetable nzima ya the big boss, anakula nini, amelala saangapi, anafanya nini, anawaza nini na maamuzi yake ni yepi, sababu mtu huyu alitokea kuaminiwa sana na the big boss in town




So how did they terminate mzee muibua kipaji cha CEO......................

Who is the deep informal......
kama movie hivi....
 
Back
Top Bottom