Crazy things you did in secondary school

The craziest kabisa and most embarrassing kwangu, nakumbuka niligombania maandazi mbele ya madogo wa form 1, i was really ashamed that day sema ndo vile ilikuwa boys school kwahyo hakukuwa na shazi ila kila nikikumbuka naumia sana
 
Nilitongoza mkaka akanikatalia,,niliazima daftar lake af nkaeka kibarua katkat kesho yake nkamrudshia,si akalikusanya kwa mwalimu bila kuangalia....... ngoj nkapeng'e kamas nakuja
 
Ulikuwa πŸ”₯, mbele ya muda
Enhee ikawaje
 
Tuliosoma bagamoyo (magambani) from 2008-.............
Kunya baharini along side the beach ilikuwa very easy no matter what,mkono wako unachimba shimo kidogo inakata gogo unafukia then you go
But nliacha kunya beach ..... guess what

Siku nlipochimba shimo na mkono then nkakutana na mav mabichi alafu nimesha yashika Kwa mkono aiseee it was such a worthless piece of shit nlijiskia vibaya
Nlikaa almost 3 weeks bila kutumia mkono wa kulia kwenye msosi
 
mwalimu akaona bwan,,si ikasomwa mbele ya darasa,ikagongwa na kengele ya dharulaπŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ, jaman aibu aibuuu yule kaka alinikana kam hanijui nilichekwaaaaaa
Dah aaki mwingine anahama na shule maana alikuua kisaikolojia
 
ningekua wa kishua ningemwambia dadii ile shule nmeichoka,,ila ndugu weee kidumu na mfagio kabsa naendaje kumwambia baba aka mshuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Alfu kwa kosa hilo?hahaha ni makofi na unasoma mpaka unamaliza na masimango juu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
usiombe ukafeli jaman,,unaskia mama sasa eeeeh tumekupeleka kusoma ila unajua kutongoza kulko kusomaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuliosoma bagamoyo (magambani) from 2008-.............
Kunya baharini along side the beach ilikuwa very easy no matter what,mkono wako unachimba shimo kidogo inakata gogo unafukia then you go
But nliacha kunya beach ..... guess what

Siku nlipochimba shimo na mkono then nkakutana na mav mabichi alafu nimesha yashika Kwa mkono aiseee it was such a worthless piece of shit nlijiskia vibaya
Nlikaa almost 3 weeks bila kutumia mkono wa kulia kwenye msosi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom