Contacts zimefutika kwenye Google account

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
339
435
Habari za mei mosi wakuu

Leo nimefungua simu nikakuta contacts zangu zilizokuwa kwenye email zimepungua kutoka 2000+ mpaka 12 contacts.

Naomba muongozo wa namna ya kurudisha contacts hizo
simu sio mpya nimekaa nayo takribani miaka miwili sasa ila hakujawahi tokea kitu kama hicho.

Nawasilisha
 
Endelea kusoma google namna ya ku -back up your contacts mkuu, jamii forum haiwezi kukuambia kila kitu huku Kuna watu wa kishenzi kishenzi wenye tabia za hovyo hovyo. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nenda contacts.google.com hafu angalia contacts zilizopo.
Ukiona hamna ingia Trash folder itakuonesha contacts zilizofutwa kwenye account yako ndani ya siku 30.
shukran sana mkuu πŸ«‚
umetisha mzigo wote umerudi
Screenshot_20240501_184027_Contacts~2.jpg
 
nisaide kama wafaham namna ya kurestore contacts
Download BACKUP & RESTORE ALL au RECOVER & BACK UP nenda setting ingia Samsung account nenda Samsung cloud back up data ingia contacts select nenda done hatimaye zitarudi number zako halafu ukifanikiwa nitumie shs. 100,000/= πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
shukran mkuu
 
Una account ngapi za Gmail. Na je unauhakika ulikuwa unasave number kwenye Gmail contacts?

Unaweza kuta uligusa au mtu aligusa bahati mbaya akabadili option ikasoma kusave kwenye simu badala ya kwenye Gmail.
 
ninazo kadhaa ila nilisave kwenye moja tu
sema problem solved nimefanikiwa kuzirudisha
 
Back
Top Bottom