Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,206
Wana big data ya kila wachezaji. Wanachu guza mwenendo mzima wa wachezaji. Wanaofanya anslysi ya kina na wanawatumia wachezaji wakongwe kujiridhisha.This is not emotional intelligence, we all watch ball. Wachambuzi what do they have??! do they have uefa class manager licences. Or they all watch ball like me and evaluate the play. Mzize is pathetic of a striker. He needs a massive improvement.
Call a spade a spade not a big spoon.
Mwandishi wa habari ndio mtu sahihi wa kuamuamini kuliko mshabiki anaeongozwa na mihemko ya kishabaki.
Jana Nabi Kampa teba Mzize nafasi dhidi Galant na kucheza vizuri. The boy is upcoming monster.