Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,001
1,989
I have being watching him in several matches, factors hidering his performance
. Poor positioning
. too heavy (mzito)
. Poor Football intelligence ( he needs to attend class again )

How to improve
. He should switch the numbers
. Improve the runs
. He should be loan to a different club for further development

Whats your say on this young African player?
 
Watafute hawa watu kwanza watuelezee huyu wa leo ni Mzize au babu yake?
Screenshot_20230430-202108.png
Screenshot_20230430-202139.png
Screenshot_20230430-202349.png
 
Anafaa kwa mechi kama za kucheza na akina Mtibwa, Kagera na timu kama hizo ila kwa mechi za kimataifa ni novice kabisa.
 
Moja kati ya mashabiki wa hovyo ni bongo na hamjui mpira kwamba kuna siku unaweza kukataa na kukubali poa tambua dogo hana match fitness especially in international careers kama leo .

Huyo Mwamnyeto mlishamsema sana ila juzi kawa na kismati mechi moja basi kila kona mpaka wengine wanamuweka profile picha huko WhatsApp ...Mfano kama mleta mada haujui mpira ila ni mropokaji akifunga hata goli basi utakuja andika kwa kumsifia mara ngapi tunawaambia ni mchezaji wa kawaida ila mnaleta unazi?
 
I have being watching him in several matches, factors hidering his performance
. Poor positioning
. too heavy (mzito)
. Poor Football intelligence ( he needs to attend class again )

How to improve
. He should switch the numbers
. Improve the runs
. He should be loan to a different club for further development

Whats your say on this young African player?
Mchezaji mzuri apewe nafasi na muda, tuna tabia ya kuwahukumu wachezaji mapema.
 
I have being watching him in several matches, factors hidering his performance
. Poor positioning
. too heavy (mzito)
. Poor Football intelligence ( he needs to attend class again )

How to improve
. He should switch the numbers
. Improve the runs
. He should be loan to a different club for further development

Whats your say on this young African player?
Lakini amefunga na sasa ana mabao 5
 
Back
Top Bottom