Christina ni Mwanamke Shujaa, apongezwe

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,136
12,718
GTs,
Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho.

Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk umri mdogo.

Historia ya Christina inawakilisha kundi kubwa sana la wanawake ambao wazazi wao walikataa kuwasomesha na kuwalazimisha waolewe kisa tu wazazi wao waliamini kumsomesha mtoto wa kike ni kupoteza hela kwa sababu anaweza kushika mimba akiwa shule.

Christina ni shujaa kwa sababu kaamua kulisemea kundi kubwa la wanawake wenye maumivu ya kukatiliwa ndoto zao na wazazi kwa kulazimishwa kuolewa.

Tuungane kuukemea utaratibu wa kumuoza mtoto wa kike badala yake watoto wa kike wawe na haki sawa ya kusoma.

Tumpongeze Christina kwa kujitokeza kuwatia moyo wanawake wote ambao ndoto zao za maisha zilikatishwa na ndoa za lazima.

Pia tukumbuke, mbinguni hatuendi kwa sababu tunandoa au hatuna ndoa bali ni roho safi inayoamini ktk Yesu Kristo, inayoamini na kumtegemea Mungu. Tuache dhihaka zidi ya Christina, tumtie moyo ili sauti zizidi kupazwa kuzuia ndoa zinazokatiza ndoto za wasichana kisa ndoa iliyolazimishwa na wazazi.

Pia soma: Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga
 
Huna Akili.

Miaka 19 tayari ni mtu mzima na Akili zake. Kuna walioozeshwa na miaka 14 na Bado wamezitunza Ndoa zao.

Huyo Christina amekwepa jukumu Takatifu la Kuleana Ndani ya Ndoa.

Ngoja Mzee Shusho ajitwalie mwanamwali mdogo kuliko yeye halafu aanze kulia lia Zaidi mtandaoni. Nadhani hakujifunza kwa Mzee Mengi na Mzee Metili.
 
Kumbe hujielewi! Nani anapingana na hilo! Je, kwa sasa, hiyo inapatikana wapi kwa ujumla wake. Wengi wan aping a ulimi na matendo yake baada ya kuvunjika ndoa yake. Njia anayotumia si sahihi
Muache Christina atumie vyombo vya habari ili kuelimisha umma wa jamii zilizokatili maisha ya watoto wakike
 
Huna Akili.

Miaka 19 tayari ni mtu mzima na Akili zake. Kuna walioozeshwa na miaka 14 na Bado wamezitunza Ndoa zao.

Huyo Christina amekwepa jukumu Takatifu la Kuleana Ndani ya Ndoa.

Ngoja Mzee Shusho ajitwalie mwanamwali mdogo kuliko yeye halafu aanze kulia lia Zaidi mtandaoni. Nadhani hakujifunza kwa Mzee Mengi na Mzee Metili.
Nadhani wewe ndiye kichwani mwako utakuwa na upungufu mkubwa sana wa uelewa. Kuolewa bila ridhaa siyo kitu kizuri kabisa.
 
Yaan azae watoto watatu afu atoke kwa ndoa huo ni uchafuu.Anasingizia ametoka kumtafuta Mungu mh,na nimchungaji.ndoa ya kanisani na ameanzisha kanisa unataka kuwaelekeza nini waumini wako.UCHAFU TU
Ndiyo si kajitambua mapema kabla ya kuzeeka, muacheni aishi maisha yake
 
Hayo ni majibu ya mwanamke nataka majibu ya mwanamme mwenyewe
Mwanamke akiongea siku zote 100% ni ukweli. Christina hawezi kujisingizia. Huyo mwanaume na yeye hana kosa kabisa kwa sababu wazazi wa binti ndiyo waliruhusu. Wenye kubeba makosa ni wazazi wa Christina
 
GTs,
Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho.

Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk umri mdogo.

Historia ya Christina inawakilisha kundi kubwa sana la wanawake ambao wazazi wao walikataa kuwasomesha na kuwalazimisha waolewe kisa tu wazazi wao waliamini kumsomesha mtoto wa kike ni kupoteza hela kwa sababu anaweza kushika mimba akiwa shule.

Christina ni shujaa kwa sababu kaamua kulisemea kundi kubwa la wanawake wenye maumivu ya kukatiliwa ndoto zao na wazazi kwa kulazimishwa kuolewa.

Tuungane kuukemea utaratibu wa kumuoza mtoto wa kike badala yake watoto wa kike wawe na haki sawa ya kusoma.

Tumpongeze Christina kwa kujitokeza kuwatia moyo wanawake wote ambao ndoto zao za maisha zilikatishwa na ndoa za lazima.

Pia tukumbuke, mbinguni hatuendi kwa sababu tunandoa au hatuna ndoa bali ni roho safi inayoamini ktk Yesu Kristo, inayoamini na kumtegemea Mungu. Tuache dhihaka zidi ya Christina, tumtie moyo ili sauti zizidi kupazwa kuzuia ndoa zinazokatiza ndoto za wasichana kisa ndoa iliyolazimishwa na wazazi.

Pia soma: Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga
Iyo paragraph ya mwisho ndo umeharibu kabisa... kumuhusisha mungu na uasherati
 
shusho alikuwa muuza nyanya na mbogamboga, hana mbele wala nyuma, na alikuwa 19 years old. yeye anaamini alikuwa mzuri sana. tuseme binti wa miaka 19 mwenye uwezo hata wa kufanay biashara ya umachinga hajitambui? hawezi kukataa kulazimishwa ndoa? au kwasababu aliona mzee shusho ni mfanyakazi wa serikali mwenye mafanikio na ametoka DSM, akaona ndio njia ya kutokea. kuna mtu ataamini kwamba alilazimishwa au umasikini ulimsukuma kuolewa? miaka 19 umelazimishwa? umejengwa polepole hadi umekuwa mwimbaji mkubwa mwenye mafanikio then ukashiba na kuondoka.

huyo ni shetani wa joyce kiria, sumu alizosambaza kiria na kundi lake, wote ni walewale, kiria naye alisema aliolewa kwasababu alikuwa hana hela ya kupanga chumba, alitokea uhousegirl, akaishi miaka 8 na mwanaume na hataki kumzaliwa, alipoona amefanikiwa akaamua kuondoka na kumdhalilisha hivihivi kama shusho anavyofanya. je? kiria alifika wapi na kileo? wanatafuta furaha na hawataipata.
 
Msilete siasa, uanaharakati wa masuala ya wanawake na mtoto wa kike katika mambo ya kiroho. Christina ni mwimbaji wa nyimbo za injili na sasa ni mchungaji mhubiri injili. Alichokifanya anakinzana na injili anayoiimba na kuihubiri kanisani kwake. Dhana kwamba aliolewa mdogo na sasa ni mama mtu mzima anatoka kwenye ndoa yake ni kituko. Alitakiwa wakati ule akiwa mdogo amkimbie mumewe kama aliona anaolewa illigally. Msilete utetezi wa kipuuzi kwa huyu mama anachokifanya si ushujaa ni aibu tupu kwa ulimwengu wa wateule
 
Back
Top Bottom