China ilikuwa sawa na Tanzania, leo wao sawa na Marekani

Mar 15, 2019
45
113
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje?

I0000lTSLDcT88Mg.jpg

Na hizo njia walizotumia kujikwamua ni siri kiasi kwamba sisi hatuwezi kufuata?, ikanibidi nitafute vyanzo nisome sasa nimekuja na maelezo haya hapa chini fuatana nami.

Katika makala moja maarufu yenye kichwa "KUPANDA KWA HARAKA KWA UCHUMI WA CHINA: Kutoka mfumo wa kizamani wa kilimo hadi kwenye Nguvu ya Viwanda ndani ya Miaka 35 Tu," ambapo Msaidizi wa Makamu wa Rais na Mchumi Yi Wen alielezea kuwa jaribio la sasa lilianza mwaka wa 1978 chini ya kiongozi wao Deng Xiaoping. China iliacha kufuata ushauri wa wanauchumi wa nchi za Magharibi, bali ilitumia njia na taratibu zake kufanya mageuzi. Hapo sasa ikaanza kufikiria njia hizi zifuatazo kuweza kujikwamua:

  • Dumisha utulivu wa kisiasa kwa gharama yoyote
  • Kuanza na mageuzi katika sekta ya kilimo, badala ya sekta ya fedha
  • Kukuza viwanda vijijini
  • Kubadilishana bidhaa za viwandani (badala ya maliasili) ili wapate mashine
  • Kujenga miundombinu kwa msaada wa serikali
  • Kuwa na sera ya umiliki wa serikali na binafsi, badala ya ubinafsishaji pekee
  • Kusogea ngazi kiviwanda: kutoka kwenye viwanda vyepesi hadi vikubwa, kutoka uzalishaji wa nguvu kazi hadi mtaji mkubwa, viwanda hadi kwenye ubepari wa kifedha na hali ya kusave hadi kwenye hali ya ustawi bora wa matumizi ya pesa na rasilimali.

Wen alibainisha kuwa China imepitia awamu tatu kuu kwenye njia yake ya kuelekea kwenye maendeleo ya viwanda.

Ya kwanza aliita PROTO INDUSTRIALIZATION ( 1978-1988 )
Wen alibainisha kuwa mamilioni ya makampuni ya biashara ya vijijini yalichomoza kwenye kipindi cha miaka 10 ya kwanza ya mageuzi hayo ya kiuchumi:
*- Idadi ya makampuni ya vijiji iliongezeka kutoka milioni 1.5 hadi milioni 18.9.
*- Pato la viwanda la kijiji liliongezeka zaidi ya mara 13.5.
*- Wafanyakazi wa vijijini walikua karibia milioni 100.
*- Mapato ya jumla ya mishahara ya wakulima yaliongezeka mara 12.
Wen aliandika: "Kwa sababu ya ukuaji huo wa ajabu katika usambazaji wa bidhaa za kimsingi za walaji, China ilimaliza uhaba wa uchumi wake (kipengele cha kawaida cha uchumi uliopangwa wa serikali kuu, ilibalance mgawo wa nyama, vyakula vingine, nguo na bidhaa zingine za msingi za watumiaji) katikati ya miaka ya 1980 na wakati huo huo wakatatua kabisa tatizo la usalama wa chakula.”

Njia ya pili waliita MAPINDUZI YA KWANZA YA VIWANDA ( 1988-98 )

20240311a3f94b3db1214aa59adc4c7f90439c37_XxjidwE007013_20240311_CBMFN0A002.jpeg

Awamu ya pili iliangazia uzalishaji mkubwa wa bidhaa nyepesi zinazohitaji nguvu kazi kubwa katika maeneo ya vijijini na mijini nchini China. bwana Wen alibainisha kuwa katika kipindi hicho China ilikuwa mzalishaji na muuzaji mkubwa zaidi wa nguo duniani, mzalishaji na muagizaji mkubwa wa pamba na mzalishaji na muuzaji mkubwa wa samani na vinyago. Pia, pato la viwanda vya vijijini lilikua kwa asilimia 28 kwa mwaka.

Njia ya tatu waliita MAPINDUZI YA PILI YA VIWANDA ( 1998-Sasa )
Awamu ya sasa inaangazia China inayozalisha kwa wingi njia za uzalishaji. Wen hapa aliandika hivi: “Kwa sababu ya kuongezeka kwa haraka na kwa kiasi kikubwa soko la ndani la bidhaa za kati, mashine na usafirishaji, kulikuwa na ongezeko kubwa la matumizi na uzalishaji wa makaa ya mawe, chuma, saruji, nyuzi za kemikali, zana za mashine, barabara kuu, madaraja, meli na kadhalika.”

Alibainisha kuwa maili milioni 2.6 za barabara za umma zimejengwa katika kipindi hiki. Hii ni pamoja na zaidi ya maili 70,000 za barabara kuu ambayo ni asilimia 46 zaidi ya Marekani. Pia, majimbo 28 kati ya 30 ya China yana treni za mwendo kasi za kisasa, na urefu wa jumla wa reli ukiwa asilimia 50 zaidi ya ulimwengu wote zikiunganishwa.

Hitimisho
Wen alihitimisha kwa kusema kwamba Marekani ilifuata mojawapo ya mikakati hiyo ya ushindi katika historia baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ilisaidia katika kujenga upya Ulaya na Japan na kuendeleza nchi nyingine maskini. Wen aliandika: "China leo inaonekana kubeba bendera mbele ya Mmarekani: Uchina inafuata mikakati ya maendeleo yenye faida, ambayo inazingatia uchumi. Inafanya hivyo kupitia ushirikiano wa kibiashara wa kimataifa na ujenzi wa miundombinu ya kimataifa bila kujali dini, utamaduni, mfumo wa kisiasa na mipaka ya kitaifa.

Je, sisi Tanzania tulifeli wapi?

END
 
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje?

View attachment 2977587

View attachment 2977588

Uchawi kwa sasa una jina jipya [UCHAWA]!
Maisha magumu , mama mkunga amezalisha wanawake kwa zaidi ya miaka 35 anastaafu na milioni 5 anaambiwa milioni 90 zilizobaki ni kikokotoo atakuwa anapewa hela kidogo kidogo, infact , hela inayobaki wafanyakazi wa NHIF wanakpeshana bila riba na unarudisha siku unayotaka .
 
Kuna mengi ya kujifunza na kutekeleza kutoka kwao. Yote kwa yote sera zao, uchapakazi wao bila kusahau tamaduni zao zimewafikisha hapa.
Kama wao wameweza hata sisi tutaweza kwa pamoja tukidhamiria.
 
China haijawahi kuwa sawa na Tanzania, achana na historia za kuunga unga tunazohadithiwa na baadhi ya watu wanaojaribu kujiliwaza kwa kujidanganya ilhali wakijua uvivu na ufinyu wa kufikiri ukijumlisha na uzito wa kufanya maamuzi sahihi unaligharimu Taifa.
 
Bro kasome historia vizuri....
Nhahahaha eti tulikua sawa
Hao kipindi cha vita ya dunia ya kwanza walikua washafanya mapinduzi ya kwanza ya kilimo....yani kilimo kilikua juu kuliko sisi leo
Kipindi cha cold war yeye ndio alikua ansambaza idea ya communism akishirikiana na stalin wa URUSI kama sikosei....
Alifadhili sana nchi za afrika kuingia kwenye kommunism kama sikosei nyerere alifaidi matunda hayo kwa tazara(hapo zambia na tanganyika wote wakonunism chini ya china)
By the way china ni moja kati ya nchi zenye kura ya turufu UN
KAANGILE NCHI ZENYE KURA YA TURUFU PALE UN UTAIELEWA CHINA VIZURI..
HIZO njia walizotoa sisi wabongo hatuwezi......mwafrika yake ngoma
 
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje?

View attachment 2977587

Na hizo njia walizotumia kujikwamua ni siri kiasi kwamba sisi hatuwezi kufuata?, ikanibidi nitafute vyanzo nisome sasa nimekuja na maelezo haya hapa chini fuatana nami.

Katika makala moja maarufu yenye kichwa "KUPANDA KWA HARAKA KWA UCHUMI WA CHINA: Kutoka mfumo wa kizamani wa kilimo hadi kwenye Nguvu ya Viwanda ndani ya Miaka 35 Tu," ambapo Msaidizi wa Makamu wa Rais na Mchumi Yi Wen alielezea kuwa jaribio la sasa lilianza mwaka wa 1978 chini ya kiongozi wao Deng Xiaoping. China iliacha kufuata ushauri wa wanauchumi wa nchi za Magharibi, bali ilitumia njia na taratibu zake kufanya mageuzi. Hapo sasa ikaanza kufikiria njia hizi zifuatazo kuweza kujikwamua:

  • Dumisha utulivu wa kisiasa kwa gharama yoyote
  • Kuanza na mageuzi katika sekta ya kilimo, badala ya sekta ya fedha
  • Kukuza viwanda vijijini
  • Kubadilishana bidhaa za viwandani (badala ya maliasili) ili wapate mashine
  • Kujenga miundombinu kwa msaada wa serikali
  • Kuwa na sera ya umiliki wa serikali na binafsi, badala ya ubinafsishaji pekee
  • Kusogea ngazi kiviwanda: kutoka kwenye viwanda vyepesi hadi vikubwa, kutoka uzalishaji wa nguvu kazi hadi mtaji mkubwa, viwanda hadi kwenye ubepari wa kifedha na hali ya kusave hadi kwenye hali ya ustawi bora wa matumizi ya pesa na rasilimali.

Wen alibainisha kuwa China imepitia awamu tatu kuu kwenye njia yake ya kuelekea kwenye maendeleo ya viwanda.

Ya kwanza aliita PROTO INDUSTRIALIZATION ( 1978-1988 )
Wen alibainisha kuwa mamilioni ya makampuni ya biashara ya vijijini yalichomoza kwenye kipindi cha miaka 10 ya kwanza ya mageuzi hayo ya kiuchumi:
*- Idadi ya makampuni ya vijiji iliongezeka kutoka milioni 1.5 hadi milioni 18.9.
*- Pato la viwanda la kijiji liliongezeka zaidi ya mara 13.5.
*- Wafanyakazi wa vijijini walikua karibia milioni 100.
*- Mapato ya jumla ya mishahara ya wakulima yaliongezeka mara 12.
Wen aliandika: "Kwa sababu ya ukuaji huo wa ajabu katika usambazaji wa bidhaa za kimsingi za walaji, China ilimaliza uhaba wa uchumi wake (kipengele cha kawaida cha uchumi uliopangwa wa serikali kuu, ilibalance mgawo wa nyama, vyakula vingine, nguo na bidhaa zingine za msingi za watumiaji) katikati ya miaka ya 1980 na wakati huo huo wakatatua kabisa tatizo la usalama wa chakula.”

Njia ya pili waliita MAPINDUZI YA KWANZA YA VIWANDA ( 1988-98 )

View attachment 2977588
Awamu ya pili iliangazia uzalishaji mkubwa wa bidhaa nyepesi zinazohitaji nguvu kazi kubwa katika maeneo ya vijijini na mijini nchini China. bwana Wen alibainisha kuwa katika kipindi hicho China ilikuwa mzalishaji na muuzaji mkubwa zaidi wa nguo duniani, mzalishaji na muagizaji mkubwa wa pamba na mzalishaji na muuzaji mkubwa wa samani na vinyago. Pia, pato la viwanda vya vijijini lilikua kwa asilimia 28 kwa mwaka.

Njia ya tatu waliita MAPINDUZI YA PILI YA VIWANDA ( 1998-Sasa )
Awamu ya sasa inaangazia China inayozalisha kwa wingi njia za uzalishaji. Wen hapa aliandika hivi: “Kwa sababu ya kuongezeka kwa haraka na kwa kiasi kikubwa soko la ndani la bidhaa za kati, mashine na usafirishaji, kulikuwa na ongezeko kubwa la matumizi na uzalishaji wa makaa ya mawe, chuma, saruji, nyuzi za kemikali, zana za mashine, barabara kuu, madaraja, meli na kadhalika.”

Alibainisha kuwa maili milioni 2.6 za barabara za umma zimejengwa katika kipindi hiki. Hii ni pamoja na zaidi ya maili 70,000 za barabara kuu ambayo ni asilimia 46 zaidi ya Marekani. Pia, majimbo 28 kati ya 30 ya China yana treni za mwendo kasi za kisasa, na urefu wa jumla wa reli ukiwa asilimia 50 zaidi ya ulimwengu wote zikiunganishwa.

Hitimisho
Wen alihitimisha kwa kusema kwamba Marekani ilifuata mojawapo ya mikakati hiyo ya ushindi katika historia baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ilisaidia katika kujenga upya Ulaya na Japan na kuendeleza nchi nyingine maskini. Wen aliandika: "China leo inaonekana kubeba bendera mbele ya Mmarekani: Uchina inafuata mikakati ya maendeleo yenye faida, ambayo inazingatia uchumi. Inafanya hivyo kupitia ushirikiano wa kibiashara wa kimataifa na ujenzi wa miundombinu ya kimataifa bila kujali dini, utamaduni, mfumo wa kisiasa na mipaka ya kitaifa.

Je, sisi Tanzania tulifeli wapi?

END
Waulize viongozi wako wa Chama Cha Mapinduzi ndio watawala.
 
😀😀😀😀😀 Mwanasheria anapelekwa kujibu hoja za nchi ,anaulizwa je umesoma huo mkataba? Hapana jamani nilikuwa nimelala😀 huyo ametumwa na watu milioni 61 halafu unategemea nchi iendelee?
 
Kwasababu sisi ni manyani kama amtaki mimi sokwe atuwezi kufanana na watu weupe kwa kuwapigia magoti, siku moja mamasamia awatishie ata urusi kwamba Tanzania tutarusha makombola ili kuchangamsha uchumi wetu🤔.
 
Back
Top Bottom