Ataondolewaje wakati anasapotiwa na wachezajiPochetino aondolewe sasa. Sio kocha wa vikombe.
Ushindi wa mwisho wa ligi huumaanishi mwanzo wa ligi ijayo atafanya vyema.
Atazengua kama kawaida yake.
Ni vyema akaja kocha mwingine mapema ajiandae na timu kwa ligi ijayo.
Kubadili makocha hivyo Kuna muda unaleta kisirani fulani hivi kwa wachezaji, unajua Ile kubadili mfumo kila muda inakuwa ni kama wachezaji wanakosa kontrol maana washaanza ku adupt mfumo halafu hapo hapo unaleta Tena mfumo mwinginePochetino aondolewe sasa. Sio kocha wa vikombe.
Ushindi wa mwisho wa ligi huumaanishi mwanzo wa ligi ijayo atafanya vyema.
Atazengua kama kawaida yake.
Ni vyema akaja kocha mwingine mapema ajiandae na timu kwa ligi ijayo.
Ni mzuri kuliko Pochettinolembu ndio anayempenda huyu kocha
Kwani alipofukuzwa Spurs alienda wapi? Alipofukuzwa PSG alienda wapiAfukuzwe aende wapi?
Ni kocha mzuri kimbinulembu ndio anayempenda huyu kocha
Kuliko kuwa na huyu bora tuendelee kubaki na Poch, Yani wakiamua kuleta huyu ni aibuChelsea wamemweka kwenye orodha Kieran McKenna wa Ipswich kama mmoja wa makocha watakaochukua kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino endapo uongozi utakatisha mkataba wake wa kuifundisha Chelsea.
View attachment 2994004
Hawezi pewa mamlaka yani huyu kaletwa tu ajenge foundation😃Pochettino anataka mamlaka zaidi kwenye usajili na uuzwaji wa wachezaji
Angekuwa na mamlaka hayo tangu mwanzoni hawa wachezaji wasingesajiliwa
Pochettino aliwataka
- Moises Caicedo
- Cole Palmer
- Kendry Paez
- Estavo Willian
- Declan Rice
- Mac lister badala ya Caicedo
- Martinez golkipa wa Aston Villa
- Danilo Pereira DM
Alimtaka piaHawezi pewa mamlaka yani huyu kaletwa tu ajenge foundation😃
Haya ndio mambo mnayopendaChelsea wamemweka kwenye orodha Kieran McKenna wa Ipswich kama mmoja wa makocha watakaochukua kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino endapo uongozi utakatisha mkataba wake wa kuifundisha Chelsea.
View attachment 2994004
Understand the logic. Mpaka sasa hakuna sababu ya Poch kufukuzwaKwani alipofukuzwa Spurs alienda wapi? Alipofukuzwa PSG alienda wapi
Makocha wote wanaofukuzwa wanaenda wapi?